profesa mahalu katua leo bongo akitokea italia ambako ni balozi wetu huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. MWIZI HUYO!!! JAMBAZI MKUBWA!!! NDIYO MAANA AMEAMUA KUFICHA SURA. HUYU HANA WADHIFA WA BALOZI TENA. ALISHAACHISHWA HICHO CHEO.

    ReplyDelete
  2. ngoma ni ileile, wapigaji na wachezaji ni walewale tu. usitarajie mtu kama huyu ukamkuta ukonga gerezani hata siku moja, hata kama ndio hari mpya nguvu mpya, hiyo sahau tena sahau,koroadio madona, mshihiri!

    ReplyDelete
  3. kibaka kibaka tuuu

    ReplyDelete
  4. Jamani nifumbueni macho sielewi nini kinaendelea hapo ina maana hiyo picha inamuonyesha baada ya kuachishwa kazi ndio anarudi nyumbani au mnaelezea matendo aliyofanya huko nyumba yaani sielewi kwa ujumla kinachooendelea hapa

    ReplyDelete
  5. Wabongo tunamaindi sana unafiki maana hakuna hata mmoja aliyesema foko enzi za akina Msuya,Malecela na Kitwana Kondo sasa kwa sababu sijui huyu profesa wa watu hajui kujitetea na kuhonga vyombo vya habari kwa taarifa yenu waliopitisha fuba hilo walikuwa Luhanjo -PS foreign Affairs na Waziri JK sasa wengine wote wamepewa tiki kasoro huyu bwana tuuu sasa ina maana kwa utoto wake wa mjini JK hakujua haya mtaishia kumwona anakufa tuu huyu hatofikishwa mahakamani ng'ooo mbona hamjaripoti kuhusu balozi za Zambia na UK mbona huko wamekwiba pia na wote huko walikuwa na kazi kama ya luhanjo ya kupokea mabibi zake huyo JK na wazee wenzie

    ReplyDelete
  6. anon ahapa juu nakupongeza sana sana,ningekupata ningekununulia glasi ya laga. hao maofisa wote wakuu wa mambo ya nje(madiplomati) walikuwa chini ya diplomati mkuu JK.
    masenene(wabongo) mbona tunakuwa wanafiki kiasi hiki?
    kama nikweli kala bilioni peke na bila bosi(alikuwa JK) kujua, tumsubiri kizimbani.
    jamjuah

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ni rafiki mkubwa wa Mkapa, na alikiuwa answerable kwa Mkapa. Mkumbuke mabalozi wanateuliwa na rais na siyo Waziri wa Mambo ya nje.

    ReplyDelete
  8. Hivi Mahalu anaficha uso wake au ana usinginzi bado!

    ReplyDelete
  9. Wabongo wenye uchungu na nchi yenu au mnaochukia rushwa mbona hamkuandamana wakati JK alipomteua Lowassa kuwa PM na wakati sote tunajua ni mlaji mkubwa ana mali kuliko uwezo wake na hata aliwwahi kufokewa na Mwalimu JK ,ahhhh wapi huwezi sikia foko wanahonga magazeti ,wana wapambe kila kona ukisema fyoko umekufa Ari mpya ingekuwa PM Magufuli hapo sawa sasa subirini mwone sasa hivi nyota inawaka hawatoiba kwanza wamejaa matumbo lakini pia ua kwenye ngwe ya pili 2010-2015 hapo watauza mpaka majengo ya wizara kwa madai kuwa ni gharama kwa serikali kuwa na ofisi Dar na Dodoma sasa subiri kuona majengo yote ya wizara yakigeuka hosteli za wakubwa

    ReplyDelete
  10. Tangia kuondoka kwa mwalimu madarakani, hayo mambo ya viongozi na pesa imekuwa culture. hakuna aliye mwema huko, wote wanatafuna pesa, kama sio wewe basi unamjua mwenzako anayetafuna.
    Tangia JK kuingia ofisni kigogo gani wa kwelikweli amepata kasheshe? si ndio hao vigogo wanaolalamikiwa kila siku,hakuna hata mmoja aliye umbuliwa mpaka leo zaidi ya siku 100 ikulu.
    nyie watu, hamuoni kama hawa wakubwa wanajuana, washikaji tena hawatatoana nishai hata siku moja.
    ari mpya nguvu mpya wizi mpya!
    jamjuah

    ReplyDelete
  11. vijana sasa mnaonge tokeni dukuduku zenu zitazaa matunda baadaye.wezi wengi na vihiyo wengi
    ndiyo maana serikali yetu inaongozwa kimizengwe mizengwe.
    JK kama yuko serious basi aanze kuchunguza wakuu wake nasikia wengine wanaitwa kina DR.Mzindakaya hivi udaktari ni wa mzaha mzaha tu,mtu anatoka darasa la nane anakuwa DR.wapo viongozi hadi leo wanatumia vyeti vya wengine na wamebadili majina yao.
    hayo ndo mambo ya msingi.Mahalu kama kala, basi ana wengine nyuma yake.bongo mtu hali pekee yake na wakati mwingine hata kula hujala bali wakubwa wanatumia jina lako na wewe ndo unakuwa kafalahilo mnalijua?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2006

    Aliena Jela ISMAEL ADEN RAGE, kwa mipira 100 ambayo hakuichua.Na bosi wake NDOLANGA akaachwa , sababu ya Pesa, Umaarufu,Kulindana, Na Mbuzi wa Kafara.
    Hakuna kitakachomtokea Pr.Mhallu,trust me!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...