Home
Unlabelled
sherehe za muungano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mzee hii ndi safi sio siku hizi kila kitu uwanja wa taifa ingawa ni vizuri lakini wawe wanaingia mitaani kama hawa wazee.
ReplyDeleteSafi sana bwana Michuzi kwa hii picha.
Maraisi hawafanyi tena hivi kwa sababu za kiusalama. Huu mchuma upo kwenye ile museum pale karibu na Karimjee, right? Inabidi waipimp-up siku kikwete apull a stunt on some west coast shit!
ReplyDeleteHii gari inaitwaje?
ReplyDeleteToyota Carina
ReplyDeleteUsalama gani wewe mbona Bush anafanya hivi na wakati yeye ndio inabidi hawe na wasi wasi hamjaona siku ya kuapishwa kwake au siku za sherehe za kiserikali. Acha Ushamba
ReplyDeleteToyota Carina??!!
ReplyDeleteAaah mzee shekhe na kifimbo walikuwa hawataki mchezo.... Kennedy style hiyo, siku hizi adimu hizi, Osama na vijana wake wamepiga stop haka kamchezo. Ooooooooh, chini ya bango la radios kwa kulia kidogo ni mzee Sewahaji Kassim Hajitumbo, kazeeka sana siku hizi, ngoja nitamwambia kuwa umemsnapua na kumuweka kwenye utandawazi, Atafurahi sana.
ReplyDeleteANGETOKEA MTU AKAMUUA KICHAKA,LABDA RABSHA ZITAPUNGUA KIDOGO.BABA FUJO TOTO NDILO HILI KIRANJA BOVU LA DUNIA.
ReplyDelete