karume na nyerere wakipiga raundi mitaa ya dar wakifurahia muungano miaka 42 ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mzee hii ndi safi sio siku hizi kila kitu uwanja wa taifa ingawa ni vizuri lakini wawe wanaingia mitaani kama hawa wazee.

    Safi sana bwana Michuzi kwa hii picha.

    ReplyDelete
  2. Maraisi hawafanyi tena hivi kwa sababu za kiusalama. Huu mchuma upo kwenye ile museum pale karibu na Karimjee, right? Inabidi waipimp-up siku kikwete apull a stunt on some west coast shit!

    ReplyDelete
  3. Hii gari inaitwaje?

    ReplyDelete
  4. Toyota Carina

    ReplyDelete
  5. Usalama gani wewe mbona Bush anafanya hivi na wakati yeye ndio inabidi hawe na wasi wasi hamjaona siku ya kuapishwa kwake au siku za sherehe za kiserikali. Acha Ushamba

    ReplyDelete
  6. Toyota Carina??!!

    ReplyDelete
  7. Aaah mzee shekhe na kifimbo walikuwa hawataki mchezo.... Kennedy style hiyo, siku hizi adimu hizi, Osama na vijana wake wamepiga stop haka kamchezo. Ooooooooh, chini ya bango la radios kwa kulia kidogo ni mzee Sewahaji Kassim Hajitumbo, kazeeka sana siku hizi, ngoja nitamwambia kuwa umemsnapua na kumuweka kwenye utandawazi, Atafurahi sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2006

    ANGETOKEA MTU AKAMUUA KICHAKA,LABDA RABSHA ZITAPUNGUA KIDOGO.BABA FUJO TOTO NDILO HILI KIRANJA BOVU LA DUNIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...