mzee rashidi mfaume kawawa leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kawawa funika kikombe!!!!

    ReplyDelete
  2. anony hapo juu umenichekesha.... sidhani kama angependa kukumbushwa hilo lol

    ReplyDelete
  3. nyerere aliiba kijiko cha dhahabu akakitia kwenye koti la kawawa huko arabuni, akakamatwa nacho.waarabu wakamtoa nishai,wakataka kumkata vidole, nyerere anamwombe msamaha.

    ReplyDelete
  4. kawawa leo du

    ReplyDelete
  5. Ama kweli mzee umekula chumvi. Tunakuombea maisha marefu mzee wetu.

    ReplyDelete
  6. Katika viongozi waliozidi kwa ngono huyo Mzee anaongoza. Watoto 50!

    ReplyDelete
  7. kwa hiyo ata baba ako apenda ngono kwa kukuzaa wewe si hivyo au? acha umbeya weye utakuja kusutwa weye.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2006

    ANONYM HAPO JUU UMENIFURAHISHA SANA,HAYA NDIO MAJIBU YA KUWAPA WATU AMBAO WAMELELEWA VILABUNI!KAMA YEYE HAMUHESHIMU WAPO WANAOMUHESHIMU NA KUMWITA BABA!ALAH!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...