
khalaf ni bosi wa kampuni ya uchapaji vitabu ya macmillan bongo. mkononi ameshika vitabu viwili, kimojawapo ni feki, yaani kimechapwa na maharamia (kiswahili cha pirates ni nini vile?). bongo ni nchi inayoongoza kwa uharamia wa kazi za watu katika nyanja zote kuanzia muziki, uchapaji wa vitabu, filamu n.k.


kama hakina kasoro ndani, yaani matirio yake basi kinafaa sana, tena bei poa kwa masikini sisi.
ReplyDeletehata kama waikwepa ushuru.jamjuah
Maskini hana sheria ...
ReplyDeleteLakini sasa waandishi wakikosa maslahi wakasusa kuandika, si ina maana huyo maskini hata hicho kitabu feki hakitakuwepo!
ReplyDeleteIssue ya "maskini hana sheria" huwa naona inakuwepo kama maskini anafaidika kiaina. Mbona huyo huyo maskini akiuziwa andazi feki lililo jaa hewa, au nyama feki yenye mifupa mingi anakuja juu!?
huyu mpemba wa tahfifu analalamika nini? usikute yeye ndie anafanya hivyo
ReplyDelete