askari wa pikipĂ­ki hapa brasilia wakijiandaa kuweka bendera za taifa za brazil na bongo kwenye mashine zao ili kumpokea mh. dkt. asha rose migiro aliyepokewa leo hapa kwa heshima kubwa inayomstahili waziri wa mambo ya nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2006

    LAKINI BWANA MICHUZI WEYE MCHOYO WA UKWELI,JAMAA ALIULIZA HIYO SAFARI NI YA NAMNA GANI?YA CARL PETERS AU?
    UMEMSINDIKIZA WAZIRI?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2006

    Michuzi who paid for your trip? Daily News or Foreign Service? And whats the purpose of this trip?

    ReplyDelete
  3. anoni 9:02 umeniacha, ila neno trip nalistukia. safari; au siyo? basi niko huku kwa kazi za kawaida za deili niuzi tu. paid sina uhakika nalo, kadhalika na foleni service huku hakuna daladala bovu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...