najidai hapa kwenye jengo la wizara ya mambo ya nje ya brazil jijini brasilia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2006

    Ongera mzee naona kweli mahala hapo palivyotakata. Sasa mzee utatushaurije, au unaweza kutuwelezeaje watanzania hili tuweze kuwa na sehemu kama hiyo tufanyeje?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2006

    Mzee Michuzi nashukuru sana kwa kuweka kitu kama hiki maanake mimi kwa kipindi nilicho anza kuingia kwenye blogger nimejifunza mambo mengi watu wengi wana mawazo mengi nafikiri kama kuna uwezekano wakati unaondoa hiyo picha kuna vitu vingi kila sehemu mawazo mengi yasipotee bure yawekwe sehemu for refferences.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2006

    You look sharp mann, hands down.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2006

    Michuzi mimi hiyo suti yako tu... yaani imekutoa ile mbaya. Tatizo kidogo tu brifkesi..!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2006

    Yeah Michuzi looks good in his outfit but but I don't wanna be rude Hit the gym Bro

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2006

    Nani kasema mganga hajingangi, si unaona hapo mganga nae anachukua snepu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2006

    SWALI KWA MICHUZI:
    Hivi wewe Mzee Michuzi ni mfanyabiashara, mwajiriwa daily news au shushushu?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2006

    Sasauwekee kurasa la mwajiri wako deli nyuzi

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2006

    Michuzi tunaomba utupe picha moja ya viwanja wanavyopumzikiaga wenzetu baada ya shughuli za kujenga taifa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    leo ninajisikia raha sana kusoma kuwa mtanzania mwenzangu amezungumzia gym........hoja nzito hii wananchi.gym jamani......kokote pale tulipo!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2006

    Umependeza mzee!!! na maisha ya hapo unayaonaje kulinganisha na Bongo? Pole na kazi!

    ReplyDelete
  12. jamani nashukuru kwa yote. la gym ntalizingatia. huku maisha yako juu sana. pesa yao (ambayo ni real) ina nguvu kweli. dola moja sawa na real mbili. hoteli nilokaa inatoza dola 60 kwa siku (kitanda na staftahi), na msosi wa kawida tu ni real 15. kwa mama ntilie ni real 4 ama 6. kilauri ceveja (bia) moja ni real 3.50. fulana ya wodikapu ya maana ni real 75, za machinga ni real 18.... n.k.

    ReplyDelete
  13. samahani; anoni wa 9:24 jibu ni kwamba mimi ni deliniuzi damu. na anoni 6:31 kukujibu nashukuru kwa kusifia suti yangu (mtumba huu jamani, wala si wa maana) na kwa taarifa mkononi nna laputopu na si brifukesi. asante kwa maoni

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 17, 2006

    michuzi ulichoshika mfukoni ni brifkesi na ndani ya hiyo brifkesi ndio kuna laputopu.....pole na shughuli.utaunganisha US kumpiga picha JK?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 17, 2006

    Umeshajua bei ya vyakula mpaka kwa Mama ntilie? Hotelini hukushiba ukaamua kwenda kusawazisha kidogo. Angalia kipindu pindu, ukianza kuendesha sijui picha utapigaje

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 17, 2006

    NAOMBENI TOFAUTI YA "HANDBAG" NA "BRIFCASE"PLEASE!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 17, 2006

    Na mfuko wa kuwekea labutopu unaitwaje!?Na ule mashahidi wa Yehova wanaobebea BIBLIA unaitwaje?

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2006

    Supa sta in ur kolekshen hii ni suti namba ngapi tena? zivae sana maana bongo nafasi ya kuzivaa hupatagi kip doin wat ur doin playa'

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 19, 2006

    Poa mzee.Hongera ila ishukuru Ari mpya...Kwa kupata safari.

    ReplyDelete
  20. 9, kama ulikuwepo na mie. hii ni suti namba hiyo yako, yaani 9. mara ya mwisho kuvaa kabla ya hapo ilikuwa kwenye kipaimara ya mtoto wa rafiki yangu morogoro mwaka jana, septemba! na kweli, mbona zinanikoma. tatizo mbili zimeliwa na panya mgongoni. ah! sijui nihamie arusha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...