Home
Unlabelled
brasilia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ongera mzee naona kweli mahala hapo palivyotakata. Sasa mzee utatushaurije, au unaweza kutuwelezeaje watanzania hili tuweze kuwa na sehemu kama hiyo tufanyeje?
ReplyDeleteMzee Michuzi nashukuru sana kwa kuweka kitu kama hiki maanake mimi kwa kipindi nilicho anza kuingia kwenye blogger nimejifunza mambo mengi watu wengi wana mawazo mengi nafikiri kama kuna uwezekano wakati unaondoa hiyo picha kuna vitu vingi kila sehemu mawazo mengi yasipotee bure yawekwe sehemu for refferences.
ReplyDeleteYou look sharp mann, hands down.
ReplyDeleteMichuzi mimi hiyo suti yako tu... yaani imekutoa ile mbaya. Tatizo kidogo tu brifkesi..!!
ReplyDeleteYeah Michuzi looks good in his outfit but but I don't wanna be rude Hit the gym Bro
ReplyDeleteNani kasema mganga hajingangi, si unaona hapo mganga nae anachukua snepu
ReplyDeleteSWALI KWA MICHUZI:
ReplyDeleteHivi wewe Mzee Michuzi ni mfanyabiashara, mwajiriwa daily news au shushushu?
Sasauwekee kurasa la mwajiri wako deli nyuzi
ReplyDeleteMichuzi tunaomba utupe picha moja ya viwanja wanavyopumzikiaga wenzetu baada ya shughuli za kujenga taifa.
ReplyDeleteleo ninajisikia raha sana kusoma kuwa mtanzania mwenzangu amezungumzia gym........hoja nzito hii wananchi.gym jamani......kokote pale tulipo!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUmependeza mzee!!! na maisha ya hapo unayaonaje kulinganisha na Bongo? Pole na kazi!
ReplyDeletejamani nashukuru kwa yote. la gym ntalizingatia. huku maisha yako juu sana. pesa yao (ambayo ni real) ina nguvu kweli. dola moja sawa na real mbili. hoteli nilokaa inatoza dola 60 kwa siku (kitanda na staftahi), na msosi wa kawida tu ni real 15. kwa mama ntilie ni real 4 ama 6. kilauri ceveja (bia) moja ni real 3.50. fulana ya wodikapu ya maana ni real 75, za machinga ni real 18.... n.k.
ReplyDeletesamahani; anoni wa 9:24 jibu ni kwamba mimi ni deliniuzi damu. na anoni 6:31 kukujibu nashukuru kwa kusifia suti yangu (mtumba huu jamani, wala si wa maana) na kwa taarifa mkononi nna laputopu na si brifukesi. asante kwa maoni
ReplyDeletemichuzi ulichoshika mfukoni ni brifkesi na ndani ya hiyo brifkesi ndio kuna laputopu.....pole na shughuli.utaunganisha US kumpiga picha JK?
ReplyDeleteUmeshajua bei ya vyakula mpaka kwa Mama ntilie? Hotelini hukushiba ukaamua kwenda kusawazisha kidogo. Angalia kipindu pindu, ukianza kuendesha sijui picha utapigaje
ReplyDeleteNAOMBENI TOFAUTI YA "HANDBAG" NA "BRIFCASE"PLEASE!
ReplyDeleteNa mfuko wa kuwekea labutopu unaitwaje!?Na ule mashahidi wa Yehova wanaobebea BIBLIA unaitwaje?
ReplyDeleteSupa sta in ur kolekshen hii ni suti namba ngapi tena? zivae sana maana bongo nafasi ya kuzivaa hupatagi kip doin wat ur doin playa'
ReplyDeletePoa mzee.Hongera ila ishukuru Ari mpya...Kwa kupata safari.
ReplyDelete9, kama ulikuwepo na mie. hii ni suti namba hiyo yako, yaani 9. mara ya mwisho kuvaa kabla ya hapo ilikuwa kwenye kipaimara ya mtoto wa rafiki yangu morogoro mwaka jana, septemba! na kweli, mbona zinanikoma. tatizo mbili zimeliwa na panya mgongoni. ah! sijui nihamie arusha?
ReplyDelete