tukiwa na askari wa pikipiki wa mjini brasilia tukimsubiri mhe. asha-rose migiro uwanja wa ndege leo (hapa naandika ni saa kumi na dakika tatu za huku)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2006

    SAFI SANA BWANA MICHUZI.NAKUPA HONGERA NA HII BLOGU,UNATUHABARISHA KWA KUPITIA MILANGO SAHIHI YA FAHAMU.
    UTAKUWA HUKO MPAKA LINI?
    USISAHAU KUDONDOSHA PICHA MOJAMOJA KWENYE HILI BLOGU LA NGUVU.
    WAPE HAY! WABRASIL.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2006

    Michuzi, ukiweza tupe picha za Watanzania walioko huko...na je picha ya Pele?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2006

    Sasa hawa jamaa mbona wanageuza bendera yetu, au kwasababu hatuna ubalozi huko ndo maana hawaijui...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2006

    michuzi,

    pia tungefurahia kuona waotaji jua kule beach.

    ReplyDelete
  5. Usisahau kutuletea zawadi, hasa ya mabloga japo wawili tu.

    Tunakutakia ziara njema.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2006

    BADO MNAMSUBIRI TU!MICHUZI HATA PICHA YA MAPOKEZI HAKUNA?USIKAE KARIBU SANA NA HAO MAPOLISI;TUNAKUHITAJI HAO WAMESHAHUKUMIWA KIFO.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    Michuzi, asante sana taarifa kuhusu lengo la ziara yako huko Brazil. Kazi njema na tunakutakia kila la kheri. Mimi naomba picha ya wacheza samba iwapo utafanikiwa kukutana na carnival manake sijui hata msimu wao ni lini. Kazi njema!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2006

    wametuzarau sana hawa, waziri atapokelewaje na pikipiki kama hizo?
    sijui midudu gani hiyo, vesspa kaaa
    hao mafundi pikipiki au wasafaisha gari.

    ReplyDelete
  9. jamani huku moto. shaba nje nje, hasa kule sao paulo, si mmeona kwenye luninga. hapa brasilia kidoooogo, poa. ila kutembea ovyo noma. hivo sina cha maana zaidi ya snepu za ziara...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    jamani huyu jamaa wenyewe mnaona ni poison,sasa basi tusimuudhi.nilivyokuwa nikisoma comments zake nimegundua kuwa huwa ni mkali sana akiudhiwa.ila poison na wewe tunakuomba uache kuwa poison uwe dawa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2006

    Mheshimiwa acha woga,
    tembea tu usisikilize wanachosema wenyeji .. maana nimefika sao paolo mara mbili si hatari kama wanavyosema watu toka ukatupatie picha za mitaani huko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...