hapa ni mtaa wa azikiwe karibu na posta mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2006

    hilo ni jengo gani mbele ya hilo daladala lenye mistari ya kijani?

    ReplyDelete
  2. phoenix house, zamani nbc feoreign branch, kona ya mtaa wa jamhuri na azikiwe, mkabala na dar institute na jirani na empaya ambayo sasa imevunjwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2006

    Kaka Michuzi hivi nauli ya daladala ni sh ngapi? maana niliiacha ikiwa sh 100.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2006

    hata Becks mwenyewe angejivunia hilo basi!!!!!

    ReplyDelete
  5. nauli siku hizi ni sh 200

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...