kuelekea sokoni...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2006

    MICHUZI,HAPO NI TUKUYU,KILIMANJARO AU BUKOBA?SI AJABU NI DAR,DU MJINI SHULE!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2006

    Mama zetu hawa ndio wanaenda kutafuta chochote kwa ajili yetu ....MAISHA haya ! Nice picture Mr. Michuzi. It is the reality

    ReplyDelete
  3. kesho tutasikia waziri kaenda kusign mkataba wa kilimo bora cha ndizi. Inamaana hizi hawazioni? nenda tukuyu uone ambavyo ndizi hazina soko, lushoto mapeasi nyanya na makabichi yanaoza, muheza maembe na machungwa yanageuka mbolea, afadhali machungwa kidogo tunauza kenya halafu na sisi tunauziwa juice ya machungwa yetu,

    jamani si manzijua zile juice za YES zinatoka zambia? jamaa aliomba kibali bongo akazunguswaaaaa weeeeee kwenda zambia mara moja kapewa kibali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...