khadija kopa na mwanae omar (kulia) wakiwa na maneno uvuruge wa almasi band (shoto). kopa na mwanae wote wanaimbia tot taarab band wakati uvuruge na bendi yake wako umangani wakitumbuiza
y

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2006

    tunashukuruu sana ndugu michuzi kwa picha hizi,zinatukumbusha mbali saana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2006

    mbona hadija kopa anaonekana kizee sana kama bibi kidude, hakika madhara ya mkorogo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2006

    khadija kopa hapigi mkorogo wewe unajua mkg huujui sema anaweka make-ups nyingi sanaa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2006

    jamani huyo aliyesema hadija kopa anapiga mkorogo,amekosa la kusoma,au hajui watu wa mkorogo?waulize Lwiza mbutu, na jesca juu ya mkorogo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2006

    Mtoto wa Hadija kafanana na Ruge Mutahaba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2006

    MMMMH!MATUSI TUMESEMA HAPANA,NI KWELI HAWA WATU WANAOKAZANA KUKOSOA WENZAO LAKINI MAZURI YA KWAO HAWATUONESHI WANAKERA KWELI,LAKINI PLEASE!MATUSI AHHHNHA!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    michuzi,nimegundua,kuna baadhi ya comments unazitoa,kwanini jamani?Embu weka zote bwana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2006

    Huyo mtoto wa Hadija ni shoga,na si jambo la kuficha.Yani ameshaathirika hata kisaikologia,yuko kama demu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2006

    Unajua suala la ushoga sasa hivi sio kitu cha ajabu kabisa sehemu nyingine. hapo tz naona bado kinaonekana kitu cha ajabu lakini kwa wenzetu wazungu sio kitu cha ajabu tena. Wazungu huwa wanajitangaza hadharani kabisa na kama kuna mtu yupo interested anachangamkia. Nadhani hata hapo tz itafikia kipindi itakuwa kitu cha kawaida kwa spidi wanayokwenda nayo mashoga.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    emergencypoison kipindi cha kikomuninst kimeisha.hiki sio kipindi cha kulazimishana kuabudu mtu au fikra fulani.je ushoga umekatazwa katika katiba ya nchi?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2006

    mimi ni mtanzania shoga.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2006

    We Anony wa 5:36AM hapo juu sema unatakaje sasa. Tukusaidiaje mpo wengi sana kuwa muwazi ni msaada wa aina gani unataka.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 19, 2006

    NAONA HUYO aANOY ANATAKA TUMSAIDIE NEPI,MANA KASHAANZA KUENDESHA.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 19, 2006

    Kaanza kuendesha gari ya aina gani automatic au manual. Lesseni anayo lakini asije sababisha ajali bure.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 19, 2006

    Anoy hapo juu umenichekesha kweli,anaendesha kiberenge,si manual wala automatic.Ila leseni hana.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 24, 2006

    Vipi wapendwa,matusi yameisha?Eti ndugu poison,umeishiwa?Maana weye ndiye mwenye digrii ya matusi humu.Umesomea wapi?Nataka kumpeleka mwanangu kujifunza huko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...