baadhi ya vitu vya mwalimu kwenye kumbukumbu yake kule butiama. usishangae, hivi ni viporo nilivyonavyo huku ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2006

    MH!WEWE MWISHO!LAKINI KOBE ANATEMBEA NA NYUMBA YAKE!
    NIMEGEE HABARI KIDOGO YA HIVYO VITABU!HASA UTENZI NA BIBLIA!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2006

    Michuzi,
    picha kama hizi ndio zinanifanya niwe nasema kuwa blogu hii ni jumba la makumbusho ya taifa. Enzi zile za jumba la makumbusho lazima liundwe na serikali au lazima watu watafute fedha za wafadhili ili waanzishe zimepita na upepo. Kuna wakati ulituuliza picha gani tunataka utupatie...jibu: picha kama hizi. Safi sana.

    Ukiweze kutupa uchambuzi kidogo juu ya vitu hivyo, kwa mfano, ule mkoba ni wa nini?

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Ama kweli mwandishi wa habari mwandishi wa habari tu! hatoi habari yote kwa wakati mmoja, anatoa kidogo kidogo ili uwe unarudi kusoma kila wakati ili kuona kama kuna habari mpya. Michuzi ana vitu vingi vya Baba wa Taifa, sijui kwanini haviweki vitu hivi vyote sehemu moja ili tuwe tunavipata na kivisoma kwa urahisi.

    Michuzi, Technolojia ni kwa ajili ya kurahisisha mambo sasa kama wewe unaitumia kututamanisha ulicho nacho kwa kutupa kiduchu kiduchu basi basi unatunyima poweful information.

    Kazi nzuri lakini kwa kila ulifanyalo hapa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2006

    emergency poison andika address yako.kuna kitabu fulani cha nyerere nitakutumia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...