Home
Unlabelled
muhogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi kisamvu wanakijua hao?
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteSasa jamani hata kilimo cha mihogo tunahitaji wataalamu kutoka nje? Kama Dr. Migito angekuwa na nafasi angeenda Serengeti, Mara. Huko angepata utaalamu zaidi wa jinsi ya kulima mihogo manake ndio zao tunalitegemea kule.
kweli kabisa zemarc uliyosema hapo juu, unajua watu wengine wanatabia ya kujifanya wanajua kila kitu wakati hawajui.
ReplyDeleteumenena na busara sana leo hii.
SASA HAPO INABIDI SERIKALI IPELEKE ANGALAU WAKULIMA WACHACHE KUJIFUNZA NA SIO ALIVYOONA MINGIRO KUWA INATOSHA,ANGALAU MMOJA MMOJA KUTOKA SEHEMU ZINAZOLIMA MHOGO KAMA ZAO KUU LA CHAKULA;NA WAKIRUDI KUTOKA HUKO,WASAIDIWE PEMBEJEO ILI WAWAFUNDISHE WENGINE KWA VITENDO.
ReplyDeleteHuyu waziri ameenda na wataalamu au ameenda peke yake. Maana safari kama hizi angekuwa anaandamana angalau na mabwana shamba wawili hivi kutoka zile sehemu zinazolima hili zao kwa wingi.
ReplyDeleteMimi naona suala hapa sikujifunza kulima mhogo, kwani hiyo mihogo ninayoiona hapo afya yake ni mbofumbofu kulinganisha na mihogo inayopatikana huko Nyang'hwale au Kasamwa. Mihogo mitatu tu inaweza kutoa debe la unga, lakini hii hapa mmh! Labda wanachoweza kutufundisha ni jinsi ya kuhifadhi ziada au kusindika kwa matumizi ya baadaye. Lakini kwa kilimo hawaoni ndani.
ReplyDeleteNinyi kuhusu muhogo tunavyolima kule serengeti sina haja ya kujifunza kuoka kwa mto yoyote kwani nina uhakika tunafanya vizuri zaidi kuliko watu wangine. Piga uwa nitajifunza vitu vingine lakini sio kulima muhoga kutoka Brazil.
ReplyDeleteItakuwa ni suala la kupotezeana muda na mali kama tunaenda kutafuta utaala nchi za nje wakati sie wenyewe tunao ujuzi hapa hapa Tz. Anony 11:50 nakubaliana na wewe kabisa mihgo mitatu tunayolima home inaonekana kuwa na afya kuliko hiyo ya wabrazil, labda kama hao wabrazil wamkuza hiyo mihogo kwa wiki 1
jamani hawa wabrazil wanatisha sio kwenye soka tu, bali hata mambo memngine ikiwa ni pamoja na kilimo na ufugaji.
ReplyDeletehapa brazil dr migiro alikuja kutia sahihi mkatabaw a ushirikiano wa kudumu na nchi hii katika masuala mbalimbali, hivyo baada ya hapo milango itakuwa wazi kwa wataalamu wa sekta mbalimbali kuja kujifunza.
mnaoona hakuna haja kuja mbali kote huku kujifunza ukulima wa muhogo mmekwenda adijojo. hawa jamaa wamefanya utafiti na kugundua aina kama 12 za mihogo na idadi hiyo hiyo ya matumizi, ikiwa ni pamoja na nguvu za nishati.
hivyo ndugu zetu wa sengerema mihogo ina faida nyingi zaidi ya kujaza tumbo. kwa ushirikiano huu bongo tuna nafasi ya kujifunza mengi toka huku...
Michuzi hiyo yuca mitamu kishenzi,jaribu kula utatuambia utamu wake kama nini
ReplyDeletekwa miaka yote tunaona picha za mawaziri wetu kutia saini mikataba, mambo yako pale pale tu.hizi safari ndefu wakubwa wanajitungia ili wapate pesa(alawansi ) za safari,mwezi mzima safarini anatengeneza kaa dola elfu kumi hivi or more,watu wanabaki wakizani bosi anakula rushwa,kumbe alawansi za kitunga. nyie tanzania na brazili wapi na wapi.
ReplyDeleteMaswala ya kupigana picha za kutabasamu na kusaini mikataba imepitwa na wakati sasa tunataka kujua mikataba hiyo ina faida gani na itaendeshwaje. swala la kuwatuma wakulima wakajifunze nalo laweza kuwa ni kupoteza muda kwani nao watakuwa wanaangalia alawansi tu. Ni hawa viongozi wetu kuwa serious katika "implementation"
ReplyDeleteJamani hata hapa tuna mbegu bora kibao za mazao kama mihogo mahindi viazi maharage na kadhalika, kama unataka kusadiki hayo nenda kituo cha utafiti kilimo cha uyole mkoani mbeya uone ma Dr wanavyo breed mbegu pale, tatizo ni kwamba hazisambazwi kwa wakulima ipasavyo zinaishia vijiji vya karibu
ReplyDeleteNenda mpwapwa kuna mbegu bora ya ng'ombe inayojulikana kama mpwapwa breed imegunduliwa tangu miaka ya 60lakini wala haijasambazwa kwa wakulima mpaka leo
Waziri wa Kilimo anafanya nini? Kazi yake inafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje? Au haruhusiwi kusafiri nje ya nchi?
ReplyDeleteWAZIRI WA KILIMO WA TANZANIA,HUYO NDIO KIUNGO CHETU KWA WIZARA ZOTE NJE YA NCHI,HUYO NI LAZIMA AJUE KWANZA.(ATIE SAINI MIKATABA YA KUANZISHA USHIRIKIANO)HAUKUWEPO KATIKA MAMBO HAYO,ANGEKWENDAJE?
ReplyDeleteHapo ndio tunapokosea sasa mbinu za ukulima wa muhogo ilitakiwa aelezwe bwana shamba hapo sio Migiro ili aweze kuwasaidia wakulima....
ReplyDelete