Home
Unlabelled
uso kwa uso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona bi Mchele anazidi kupungua?
ReplyDeleteNisalimie Asha R. Migiro.
hee! mkwara wa iran mchezo?
ReplyDeleteColin Powel, aliacha bila kupenda, hiyo ofisi na ubabe katika karne hii ndivyo vinavyomfanya mama watu azidi kupungua kilo.
ReplyDeleteMichuzi, upo hapo Brazil mpaka line, lete nipe namba yako ya simu hapo, ukitoka hapo safari inaelekea wapi?
Michuzi huko Brazil usikae karibu karibu na polisi maana siku mbili tatu hivi zilizopita kuna zege zege kali kati yao na majambazi nafikiri unajaona kwenye news hasa huko sao paulo!safari njema naurudi salama.
ReplyDeleteMICHUZI,MWAMBIE MH.MIGIRO AMWELEZE KONDOO TELEZA MCHELE NA JOJI KICHAKA WAACHE UBABE,DUNIA SIO YAO PEKE YAO NA UTAJIRI MUNGU ALIUSAMBAZA DUNIA NZIMA ILI TUTEGEMEANE NA TUSHIRIKIANE;SASA HAWA WANAVYOTAKA VITU VYOTE DUNIANI VIWE VYA MAREKANI WANANIBOHA!
ReplyDeleteUGAIDI DUNIANI HAKUNA!MAGAIDI NI HAOHAO MAREKANI!WAENDE KOREA WAACHANE NA IRAN WA WATU!
Sasa nani zaidi? Mchele au Mingiro?
ReplyDeletemchele na mingi-lo!zaidi acha pozi mingi-lo!
ReplyDeleteKila mmoja zaidi kwenye cheo chake nchini kwake,hakuna kiongozi wa dunia!
ReplyDeletemichuzi umenifurahisha sana umeanza kujua kingereza sasa ahhh ukiongeza mazoezi kidogo ukoo mbaliiii kabisa na kama ujuavyo watz wakati mwingine hatupeani moyo nashangaa wenzangu hawajaliona hilo na kukupongeza nimefurahi sana kuona umejua mchele ni rice.
ReplyDeleteSi mchezo,namzimia sana huyo kondoleza Rice,she deserve it.
ReplyDeleteNa mimi nampongeza michuzi bwana halafu nimekutana naye pale brazil chini siyo mchezo.
ReplyDeletemigiro anaogopa kutengeneza nywele eti ili anaonekane ana hekima nyingi,mama wa kiafrika eti.
ReplyDeletekafurahi kishenzi,hata ujumbe kashasahau,raha tuu condooo
kipepeo umeandika nini? Mama Migiro siku hizi amenenepa hivi alivyokuwa wizara ya wanawake na mambo yasiofaa hakuwa mnene hivi au macho yangu. Huyu mama mtu mmoja poa sana anaweza gombea urais baada ya JK.
ReplyDeleteI bet migiro alimwambia condi anampa appetite, si unajua ametoka kwenye baa la njaa. condi nakumbuka amewahi kusema some ignorant stuff kuhusu afrika si muda mrefu, kuna mtu inabidi amuweke sawa.
ReplyDeletecondoo na hakika hajui kinachoelndela Tanzania,hata Rais wake labda hamjui kwa sura labda jina kwa mbali yuko familia nalo,migiro atamwambia nini mam condooo?zaidi ya hello! na mie manwamke kama wewe,hakuna shughuli yeyote ya muhimu kati marekani na bongo.
ReplyDeletelabda siku ya mgao tu.
Namwona Ambassador Augustine Mahiga yuko pale pembeni.
ReplyDeleteMimi nafikiri mmeongea tu sijui kipepeo, ulichokiongea nafikiri humjui huyu mama kwa taharifa yako mingiro yuko mbali. Pamoja na nchi yetu kuwa masikini labda ndicho kinachoweza kutompa nguvu lakini pamoja na kuwa mwanamke uwezo wa kuongwea na kujiamini anao. Kumbuka huyu mama ni PhD holder.
ReplyDeleteHUYO CONDI RICE MSHAMBA TU AMEFANYA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA HAPA UINGEREZA AFUKUZWE KAZI KWA SKENDO ZAO ZA NGONO ZILIZO ENDELEA NA WAKATI ALIPOKUJA HAPA JUZI NA KWENDA PAMOJA NAE IRAQ NASIKIA WALIKULA NGONO NA BAADA YA TONY (WAZIRI MKUU) KUSIKIA HIYO ISSUE NA BAADA YA WAO KUSHINDWA CHAGUZI AKAONA HUYU (JACK STRAW) JAMAA MSHAMBA TU NA KUMFUKUZIA MBALI KAZI. HIVYO BASI KUWA NA AKINA MAMA WA DIZAINI HII SOMETIMES NI HASARA TU KAZI HAIFANYIKI NA NGONO KUENDELEA. INGAWA HII SKENDO DOWNING STREET (NO.10) WANAKATAA LAKINI HUO NDIO UKWELI MTUPU.
ReplyDeleteUko kaka si unajua wakishafika huko wanasahau kuwa kuna nature ambayo huwezi kujizuia? matokeo yake ni kuwa akimsogelea mtu ambaye anafikiri anweza kumsaidia anasema nisaidie. Alifanya vibaya kumtimua maana mama alikuwa na njaa. Si unajua mwenyewe?
ReplyDeleteKwa hiyo mama siyo wa kulaumiwa kama jamaa nilivyo muelewa.
ReplyDeletelabda walikuwa wanaongelea haki za wanawake! au anashangaa kuona foreign affairs minister mwanamke! hakuna mtu anayejua its all asumptions! naomba tumpe credit huyo mama. nchi kama wingereza pamoja na kuwa na uchumi mzuri hawakuwahi kuwa na foreign minister mwanamke mpaka wiki moja au mbili zilizopata. For once be proud of yourself ( I mean Tanzanians). Go asha.....!!!
ReplyDeletesamahani huyu mtu wa mwisho aliyetumia jina MK sio MK wa vijimamboz.blogspot.com.
ReplyDeleteNashukuru,
Copyright © 2006 MK, The Real MK.
Nimekupata Zemaecopolo hiyo ndio hali halisi ya nchi zetu. Sijui tuanzie wapi tunasubiri tu muujiza wa JK make unajua mimi nikiangalia Tanzania ni kama tunaanza upya kujenga misingi ya nchi yote ni kama imebomoka kabisa. Kwa hiyo hili tuende angalau na ka sayansi hatuna budi kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu.
ReplyDeleteHivi nchi yetu ni Changa, itakuwa "Changa" mpaka lini? Nimesikia huu u-changa tangu nikiwa mtoto enzi za Nyerere. Are we ever going to grow up and mature as a country?
ReplyDeletewewe kipepeo acha kudharau mawaziri wetu huyo mama migiro ni mwanamama ameenda shule tena sio ya kubahatisha, utaona atakavyobadilisha mambo unadhani jk alikuwa zuzu kumweka hapo...?
ReplyDelete