mh. dk. asha-rose migiro akiwa na kondolesa mchele baada ya kikako cha usalama cha umoja wa mataifa kule niuyok juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Mbona bi Mchele anazidi kupungua?

    Nisalimie Asha R. Migiro.

    ReplyDelete
  2. hee! mkwara wa iran mchezo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2006

    Colin Powel, aliacha bila kupenda, hiyo ofisi na ubabe katika karne hii ndivyo vinavyomfanya mama watu azidi kupungua kilo.
    Michuzi, upo hapo Brazil mpaka line, lete nipe namba yako ya simu hapo, ukitoka hapo safari inaelekea wapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2006

    Michuzi huko Brazil usikae karibu karibu na polisi maana siku mbili tatu hivi zilizopita kuna zege zege kali kati yao na majambazi nafikiri unajaona kwenye news hasa huko sao paulo!safari njema naurudi salama.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2006

    MICHUZI,MWAMBIE MH.MIGIRO AMWELEZE KONDOO TELEZA MCHELE NA JOJI KICHAKA WAACHE UBABE,DUNIA SIO YAO PEKE YAO NA UTAJIRI MUNGU ALIUSAMBAZA DUNIA NZIMA ILI TUTEGEMEANE NA TUSHIRIKIANE;SASA HAWA WANAVYOTAKA VITU VYOTE DUNIANI VIWE VYA MAREKANI WANANIBOHA!
    UGAIDI DUNIANI HAKUNA!MAGAIDI NI HAOHAO MAREKANI!WAENDE KOREA WAACHANE NA IRAN WA WATU!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2006

    Sasa nani zaidi? Mchele au Mingiro?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    mchele na mingi-lo!zaidi acha pozi mingi-lo!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 15, 2006

    Kila mmoja zaidi kwenye cheo chake nchini kwake,hakuna kiongozi wa dunia!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2006

    michuzi umenifurahisha sana umeanza kujua kingereza sasa ahhh ukiongeza mazoezi kidogo ukoo mbaliiii kabisa na kama ujuavyo watz wakati mwingine hatupeani moyo nashangaa wenzangu hawajaliona hilo na kukupongeza nimefurahi sana kuona umejua mchele ni rice.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 15, 2006

    Si mchezo,namzimia sana huyo kondoleza Rice,she deserve it.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 15, 2006

    Na mimi nampongeza michuzi bwana halafu nimekutana naye pale brazil chini siyo mchezo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 15, 2006

    migiro anaogopa kutengeneza nywele eti ili anaonekane ana hekima nyingi,mama wa kiafrika eti.
    kafurahi kishenzi,hata ujumbe kashasahau,raha tuu condooo

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 15, 2006

    kipepeo umeandika nini? Mama Migiro siku hizi amenenepa hivi alivyokuwa wizara ya wanawake na mambo yasiofaa hakuwa mnene hivi au macho yangu. Huyu mama mtu mmoja poa sana anaweza gombea urais baada ya JK.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 15, 2006

    I bet migiro alimwambia condi anampa appetite, si unajua ametoka kwenye baa la njaa. condi nakumbuka amewahi kusema some ignorant stuff kuhusu afrika si muda mrefu, kuna mtu inabidi amuweke sawa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 16, 2006

    condoo na hakika hajui kinachoelndela Tanzania,hata Rais wake labda hamjui kwa sura labda jina kwa mbali yuko familia nalo,migiro atamwambia nini mam condooo?zaidi ya hello! na mie manwamke kama wewe,hakuna shughuli yeyote ya muhimu kati marekani na bongo.
    labda siku ya mgao tu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 16, 2006

    Namwona Ambassador Augustine Mahiga yuko pale pembeni.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 16, 2006

    Mimi nafikiri mmeongea tu sijui kipepeo, ulichokiongea nafikiri humjui huyu mama kwa taharifa yako mingiro yuko mbali. Pamoja na nchi yetu kuwa masikini labda ndicho kinachoweza kutompa nguvu lakini pamoja na kuwa mwanamke uwezo wa kuongwea na kujiamini anao. Kumbuka huyu mama ni PhD holder.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 16, 2006

    HUYO CONDI RICE MSHAMBA TU AMEFANYA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA HAPA UINGEREZA AFUKUZWE KAZI KWA SKENDO ZAO ZA NGONO ZILIZO ENDELEA NA WAKATI ALIPOKUJA HAPA JUZI NA KWENDA PAMOJA NAE IRAQ NASIKIA WALIKULA NGONO NA BAADA YA TONY (WAZIRI MKUU) KUSIKIA HIYO ISSUE NA BAADA YA WAO KUSHINDWA CHAGUZI AKAONA HUYU (JACK STRAW) JAMAA MSHAMBA TU NA KUMFUKUZIA MBALI KAZI. HIVYO BASI KUWA NA AKINA MAMA WA DIZAINI HII SOMETIMES NI HASARA TU KAZI HAIFANYIKI NA NGONO KUENDELEA. INGAWA HII SKENDO DOWNING STREET (NO.10) WANAKATAA LAKINI HUO NDIO UKWELI MTUPU.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 16, 2006

    Uko kaka si unajua wakishafika huko wanasahau kuwa kuna nature ambayo huwezi kujizuia? matokeo yake ni kuwa akimsogelea mtu ambaye anafikiri anweza kumsaidia anasema nisaidie. Alifanya vibaya kumtimua maana mama alikuwa na njaa. Si unajua mwenyewe?

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 16, 2006

    Kwa hiyo mama siyo wa kulaumiwa kama jamaa nilivyo muelewa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 17, 2006

    labda walikuwa wanaongelea haki za wanawake! au anashangaa kuona foreign affairs minister mwanamke! hakuna mtu anayejua its all asumptions! naomba tumpe credit huyo mama. nchi kama wingereza pamoja na kuwa na uchumi mzuri hawakuwahi kuwa na foreign minister mwanamke mpaka wiki moja au mbili zilizopata. For once be proud of yourself ( I mean Tanzanians). Go asha.....!!!

    ReplyDelete
  22. samahani huyu mtu wa mwisho aliyetumia jina MK sio MK wa vijimamboz.blogspot.com.

    Nashukuru,
    Copyright © 2006 MK, The Real MK.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 17, 2006

    Nimekupata Zemaecopolo hiyo ndio hali halisi ya nchi zetu. Sijui tuanzie wapi tunasubiri tu muujiza wa JK make unajua mimi nikiangalia Tanzania ni kama tunaanza upya kujenga misingi ya nchi yote ni kama imebomoka kabisa. Kwa hiyo hili tuende angalau na ka sayansi hatuna budi kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 18, 2006

    Hivi nchi yetu ni Changa, itakuwa "Changa" mpaka lini? Nimesikia huu u-changa tangu nikiwa mtoto enzi za Nyerere. Are we ever going to grow up and mature as a country?

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 20, 2006

    wewe kipepeo acha kudharau mawaziri wetu huyo mama migiro ni mwanamama ameenda shule tena sio ya kubahatisha, utaona atakavyobadilisha mambo unadhani jk alikuwa zuzu kumweka hapo...?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...