tujimitambo twa video nako tupo-tupo bongo. huyu ni elliudi pemba wa digital art company. soko lipo kubwa sana la mambo haya, hasa kama unafanya kwa utaalamu na ubora wa hali ya juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2006

    Duh
    Huyu dada ana mgongo
    zemarcopolo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2006

    kwa hiyo unatakaje wewe.
    Wacha tamaa hao ndiyo waafrika.Utalijua jiji.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2006

    eenh bana kweli nilikuwa sijaucheki vizuli mgongo, maana unaonekana hata kwenye nguo kama hii? si matani. Michuzi naomba picha kamili ya huyu kimwana na jina lake tafadhali

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2006

    Michuzi una jichooo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2006

    mh!! sina la kusema

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2006

    JAMANI EEEEH!HIVI MICHUZI HAPO KAZUNGUMZIA MGONGO?AMESEMA SOKO BONGO LIPO!ALAFU TUNALALAMIKA OH!TANZANIA MBAYA,HAIPENDEZI,CHAFU,MASIKINI,RUSHWA,WIZI,NONIHINO.....
    WAKATI HATUTOI MICHANGO YA MAENDELEO ZAIDI YA MIGONGO,MIGUU,PAJA,MAZIWA!MMMH,INATOSHA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2006

    weee zemakopo husijidanganye bluu inaweza kutokea popote pale. Wewe ndio uliandika habali ya mgongo sasa unaona hatali ya nini. Tena uwe wazi tu kwamba ulikuwa na mana ana matako mazuli

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2006

    Jamani mitambo gabni ya muvi inayochukua behind ya mdada tu?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2006

    lakini usisahau kuoga kwa sabuni!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2006

    tOBA! Munajuwa kuchunguza, ni kweli kabisa nakubali ana mgongo umetulia

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2006

    Jamani naomba tuwe wawazi zaidi mgongo ndio unamaanisha nini? Kuanzia Kiunoni kwenda juu mpaka shingoni kwa nyuma au mie sielewi kabisa.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2006

    Grill sasa wewe una vijimambo kakaang'u yaani aujui mgongo? pole

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2006

    Sasa mgongo umeletwa rasmi,angalia mshindi wa sijui vodacom,TZ we acha tu,lazima nirudi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...