Nimefurahishwa sana na habari hizi chini toka marekani. Naomba soma kwa makini uone jinsi baadhi ya wabongo wanavyochakarika ughaibuni

Documentary: Bongo Barbers Shop

Directed by – Charlie Ahearn and Art Production Fund (Doreen Remen)

Bongo Barber's Shop ni video amabayo nimekamilisha hivi karibuni nadirector Charlie Ahearn. Video Documentary tume irekodi June 6, 2005 Bronx, New York. Director amewahi pia kurekodi cinema marufu sanaya Hip Hop inoitwa 'Wild Style' 1982. Kwa Habari zaidi kuhusu Wild Style: http://www.wildstylethemovie.com/inside.htmIlikuwa dokumentari ya hip hop amabayo imekubalika sana na vichwa vyahip hop na mashabiki wengi sana duniani. Cinema hiyo ilitoka kwenye enziza Break Dancing (1980- 1985). Majina halisa ya washiriki:• Ahmed Dola A.K.A Balozi Dola• Curtis Fisher A.K.A Grand Master Caz• Mike Simpson A.K.A DJ EZ Mike• Theodore Livingston A.K.A Grand Wizard Theodore• Dread Archie Jr. A.KA D.O.ANimeamu kurekodi hii documentary kama njia moja wapo ya kutangaza sanaaya Bongo flava hapa Marekani, ambayo haijulikani kabisa na watu wengi.Pia nimetaka kufuatilia kwa karibu sanaa hii hadi kwenye chimbuko lakeBronx, New York. Mahali ambayo tume rekodi documentary ni umbali yamajengo mawili tu ambayo Hip Hop imeanzisha na DJ Kool Herc mwaka 1975.Pia video hii inajaribu kuonesha ni jinsi gani hip hop hivi sasaimesabaa dunia mzima hadi Afrika. Pia hii video inajaribu kujenga uhusiano waki muziki nawa Marekani weusi kuwa wezesha kuelewa Rap ya Bongo.Wanasiasa wengi wamejaribu kutu unganisha wa Africa na wamarekani weusi(African American's) siku za nyuma bila mafanikio makubwa, kwa kutumiasiasa. Lakini hivi sasa mimi kama Balozi wenu na tumia sanaa ya Rapkujenga uhusiano huu ambayo utawezesha kujenga soko la muziki siku zambele na kufunguwa milango ya kuwawezesha wasanii wenzangu kuwezakuuza na kuonesha sanaa yao Marekani.Mimi kama Balozi wa Hip Hop hapa Marekani (New York)nina majukumu yakuwakilisha sanaa yetu ya Bongo na kupeperusha bendera ya bongo flava. Kwavile hatuna promoter yoyote yule anofanya kazi hii yaku elimisha jamiiyaki Marekani kuhusu Bongo flava.
Bongo Barbers Shop inazungumzia:Wasanii wawili Grand Master Caz toka Marekani na mimi Balozi kutokaTanzania kama wasanii walobobea katika sana na wana kubalika na jamii.Kwenye Cinema hiyo tuna kutana katika Nyumba ya kinyozi, Bronx, New York(The Headquaters) katika harakati zangu zakutafuta Hip Hop ya kweli.Kama unavyoelewa hivi sasa sana ya Hip hopImetekwa nyara na ma promoter na wanfanya biashara wenye agenda zaobinafsi. Hip Hop imekuwa commercial sana na wasanii hawa zingatia tenamaadili ya sana. Kama kutoa ujumbe mahususi kwa jamii Nakutetea haki zawanyonge. Badala yake ni mashahiri ya mademu, bia, bangi na mambo yasiona manufaa kwa jamii. Na hii si Marekani tu hata Bongo hivi sasa ndokinacho endelea.Kwa hiyo tuna gusia hayo mambo katika filamu kidogo. katika salooni hiyopia kuna wasanii wengine wakonge wa Hip Hop ya zamani (Old school HipHop) kama DJ wa Grand Master Flash, DJ EZ Mike, (ndo mwenye Salon –Headquaters bado ana DJ kwenye Party na Shows) DOA ( mtalaam wa beat zandomo, beat box), Grand Wizard Theodora ( ambaye ni DJ wakwanza kutumiasidano ku scratch kwenye LP) – katika cinema wanasika wanaimba kwa sautikunieleza kwamba Balozi umefika kwenye Hip hop ya Kweli, Hip Hop yakweli iko hapa – Bronx, New York. Cinema hiyo imerekodiwa karibu sana nakwenye chimbuko la hip hop ( Bronx, NY.) Pia natarajia kuizinduwa huku Marekani – katika style ya pekee WorldPremier release party summer (June/July 2006) ambayo wata alikwa wasanii
Marufu. Kuna uwezekano mkubwa hivi sasa kuonekana ndani ya MTV Basemazungumzo yana endelea vizuri sana. Pia stesheni amboyo tayariwameonesha kubali kurusha documentary hewani ni BET na VH1 ambayo ni stesheni kubwa sana huku marekani za Muziki. Video tayara imesha anza kuoneka Tanzania - ITV, Channel Ten, Channel 5, TVZ, Star TV, pia kwenye Boti za kwenda Zanzibar.Mwezi wa June itaonekana kwenye Channel O na Channel M, na matamasha mbalimbali ya senema Marekani na CanadaBalozi Dola's BIO:Balozi Dola (Ahmed Dola) ni msani ambayo anoimba hip hop yenye ujumbemahususi kwa jamii baadi ya mashahiri yana zungumzia mambo ya Siasa,uchimu, hali duni ya wananchi wa Tanzania, na utamaduni wa vijana wakiTanzania. Pia mashahiri yana angalia dira na muelekeo wa vijana. Mpakahizi sasa nimesha zinduwa album mbili, "Balozi Wenu" 2000 na "Ubalozini"na 2002. Nimerekodi videos mbili pia singles ya, Kwenye Chati na Nanina Nani. Kabla hizo album mbili nimezinduwa album mmoja na kundi langula , The Deplowmatz, 1997 (jina la album Deplowmatz)Mafanikio :
Wimbo wangu "Maisha" umeshika nafasi ya namba mmoja kwenye charti yastesheni ya radio Uholanzi – Q 93 FM. – 2000

Tuzo la kundi bora la Rap Tanzania mwaka 1999.

Balozi Dola's performances Tanzania:ZIFF - Zanzibar International Film Festival in 2000Uzinduzi wa album ya Ubalozini ( Zanzibar – Ngome Kongwe 2002)Tangia niwasili Marekani Mwaka 2002: nimeanzisha tovuti ya kampuni yetu(Balozi na SUGU) – Kwetuentertainment – http://www.kwetuentertainment.com/Performance Ulaya: 1. Festival Mundial-World Music Festival (Tilberg, Holland and Belgium) 20012. New York Public Library (Harlem, New York) 20023. Knitting Factory – Manhattan, New York 20034. Five Spot Café , Brooklyn, New York (Nomadic wax Records) - 20035. Club Capital in Washington D.C – 20036. The Museum of African Art in Queens, New York (2003)7. Outdoor festival in Philadelphia (2004)8. Springfiled, Boston – Umoja ya Wa Tanzania Show 20049. The H20 World UP Hip Hop Festival in New York (2004)10. Bowery Poetry Club - Manhattan, New York.11. Week of Action for Darfur at Princeton University, New Jersey 200512. Hip Hop Week at Fordham University, New York (2005).13. Safari Club, Washington, D.C – 200514. Performance Trinity College, Hartford, Connecticut – Oct 200515. New York H20 Film Festival – Nov 2005
16. Trinity International Hip Hop Festival - April 2006- http://www.trinityhiphop.org/
Nimeshaongea na wanafunzi katika : SUNY University, SarahLawrence College, and Fordham University, Princeton University kuhusianana Bongo Flava na utamanduni wa vijana na Hip hop Tanzania.

Balozi on BBC
http://news.bbc.co.uk/1/hi/entertainment/4950692.stm

Balozi on BET.com
http://www.bet.com/Music/Hip+Hop+Goes+Global+Tanzania.htm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2006

    Namkumbuka sana huyu Balozi Dola soul hili jina aliliiga toka kundi la DE-LA Soul, kama alivyojiita 2proud baada ya kusikia kuna 2pac,Huyu dola soul aliwahi kuishi uingereza wakati akiwa mdogo sana, basi jamaa alipokua mkubwa story zote ni uingereza sasa ukitaka kumuudhi muulize mbona wewe ulirudi ukiwa mdogo sana na story zako ni zakikubwa? moto utawaka

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2006

    Mshikaji alikuwa anaishi ilala yeye na imam Abbas story zao zilikuwa ulaya ulaya utadhani twanga,Uzuri wa Dola yeye alipiga shule wakati Imam yeye alikimbia shule na kwao walipo mlazimisha akawakimbia vilevile, sasa Dola kaondoka kamuacha mshikaji wake kachoka , sasa hivi Imam Abbas kaoa mtoto wa mganga wa kienyeji na wamezaa, wote wanalelewa na baba mkwe. Dola kama unasoma hii habari Imam kachoka huku mtumie japo viatu ashine

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2006

    Kip it up $Soul ila ucmsahau mshikaji(Imam) c unaona wajamaa wanavyomponda, mmetoka far.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2006

    MICHUZI
    MBONA UMETOA PICHA YA KING ENOCH TENA?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2006

    Pumbavu wewe, wewe ni balozi wa haohao wapumbavu wenzako wanaovaa ushanga mnaovaa ushanga kiunoni eti tuu kwa sababu p-didi anavaa. Firweni na nyinyi kama anavyofirwa basha wenu p-didi.
    Kuma kabisa

    ReplyDelete
  6. huyu balozi na Imam wanangu mwenyewe hawa, mnaikumbuka sauti yake balozi? jamaa anaulimi mzito kiaina ila kwenye kushika mike hayuko nyuma anakamua hivyo hivyo na ulimi wake mzito, Imam naye mzuri kweye game sema tu hajaamua kukomaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2006

    Kwa kweli huyo jamaa hamfahamu kabisa Balozi. Ni jealous zake, na chuki binafsi. Kwanza hilo jina la Dola Soul hujuwi historia yake. Sio kama ameiga. Jina lake halisi ni Dola. Soul nikutokana na kwamba mashahiri yana toka kwenye roho. Ni yaki kweli. Sio kama DE LA Soul. Kwa hiyo ukijumlisha Dola + Soul unapata kitu kamili. Upo hapo babu? Najuwa wewe pia una mindi sana kwenda Uingereza... Subiri muda wako mjomba. Usijifanye unamjuwa sana Balozi. Balozi ni msomi bwana amesoma uingereza wakati ni mkubwa, umri zaidi ya miaka ishirini naa... pia amefanya vizuri sana katika masoma. Matokeo yake yalikuwa bora Uingereza nzima katika College yake ya West London.. Amepasuwa na A' katika masomo yote. Niukweli sababu nimesoma kwenye shule naye. Hivi sasa Balozi yuko-NYU, New York University anachukuwa shahada yake ya juu. Jamaa anafanya show nyingi sana na kuwakilisha Bongo flava marekani kwa watu weupe na weusi. Kwa kweli anawakilisha sanaa yetu pia anatumia elimu yake kuwa elimisha kuhusu Bongo flava mpaka mashuleni anaongea mara kwa mara. Yeye ni kama promoter wa Bongo flava marekani. Mpeni heshima yake Jamani. Balozi kawaida yake ni mtu wa amani kila saa - hana chuki wala ha mindi mambo ya watu. Ni mtanzania na story zake ni jinsi gani ya kuendeleza Bongo flava... kama huna la kuchangiya kaa kimya usichafuwe blogi la bwana Michuzi... Cheki mwenyewe mambo yake Balozi Dola. www.kwetuentertainment.com na www.myspace.com/balozidola Huyu jamaa anastahili kupewa tuzo ya kuendeleza sanaa ya bongo flava ndani na nje ya bongo.. mimi nam saluti huyu jamaa.

    Wasanii wote wanamuheshimu Balozi yuko tight kwenye steji na pia anaheshimu watu.

    Abbas ni kichaa wake bado wanawasiliana kwa sana na, na imani kuwa ata muinuwa mwanaye akirudi bongo. Acheni hivo chuki zenu jamani tujenge...

    ReplyDelete
  8. Da heshima kaka.
    Hizi ndo harakati

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...