Home
Unlabelled
baraka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisha Baraka yoyoyo....Baraka Msilwa yoyoyo
ReplyDeleteAsha Baraka hana mume?
ReplyDeleteNamuadmire sana Asha Baraka, nategemea kukutana naye siku moja tuchati. Nadhani ana mwamko wa kuendeleza sanaa na wasanii, biashara inafuata. Ukiwa na approch hiyo mafanikio yatakufuata, na siyo kinyume chake. Nakumbuka nilitoa shutuma kwa watu kama diamond jubilee hall humu ndani watu wakanisema. Kama hii show imefanyika diamond hakika wameikarabati, ambacho ndiyo kilio changu hasa.
ReplyDeleteDu hapawezi kuwa diamond, nikisoma maelezo ya picha hapo chini hapa ni Ubungo plaza, sijaingia hapo maana nilipotoka dar bado palikuwa hapajafunguliwa.
ReplyDeleteAsha baraka ni mmojawapo ya wanawake wa kuiga Tz. Mie nampongeza sana huyu Dada ASHA Keep it Up.wawawawawawa!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemume wake anaitwa Saidi Bwela anakuwa naye mara nyingi ila hapendi kujionyeshaonyesha ni mtu mmoja cool hivi, huwa anapenda kumuacha huru mkewe katka mambo yake ya sanaa
ReplyDeleteSawaaaaaa Asha Baraka ni wa kuadimaya sana kwa mambo ya kuwaendeleza wasanii...hongera dada LAKINI JE UMELIPA PESA ULIZOKOPA KWA REBECA MAKELEMO ulipoenda kule LONDON??? jamani mbona hapo dada unaaibisha. Maana mwenzio alichukua mkopo ndio akakuamini kukukopesha ili hata uweze kuongezea kununua vifaa vya muziki kidogo vya kisasa. VIBAYA HIVYO hakikisha umelipa laa sivyo mola hatakubariki.
ReplyDeleteAsante! Nimeshalipa na sasa nina mpango wa kuja kukukopa wewe,Tafadhali andaa kama Paund 10,000 hivi..........
ReplyDeleteAsha kwani yale matamasha ya miaka mitano ya ASET hizi hela si umeshapata? hata hivyo hii ni hela ndogo sana inatosha kununua key-board moja ya KORG na chenji ikibaki unanunulia waya za speaker.achana na hayo hebu tupe ile adress ya web-site ya ASET
ReplyDeleteVyema Asha kama kweli umelipa. Huo ndio uungwana. Mtu wa maana wewe. Sio wengine huwa wanakopa halafu kulipa inakuwa tabu, especially pounds bwana si mchezo. Ndio maana unabarikiwa basi na unaendelea vizuri maana si mzulumishi.
ReplyDeleteHabari za mihangaiko dada Asha Baraka, nakupongeza na kila jema unalofanya na kukushauri usichoke dada mimi shida yangu ni moja naomba kukuuliza nimesoma website yenu ya ASET nimeona kwenye management yenu mko BARAKA wengi una mahusiano nao gani hao?na kweli wewe unataka kugombea ubunge Kinondoni at this Election?ni hayo tu mimi Hassanain wa Kinondoni Studio.
ReplyDelete