asha baraka na kaka yake baraka msiilwa wakifurahia tuzo ya wimbo bora wa mwaka ('safari 2005) bendi yao ya afrikan staaz ilipokea jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2006

    Aisha Baraka yoyoyo....Baraka Msilwa yoyoyo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2006

    Asha Baraka hana mume?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2006

    Namuadmire sana Asha Baraka, nategemea kukutana naye siku moja tuchati. Nadhani ana mwamko wa kuendeleza sanaa na wasanii, biashara inafuata. Ukiwa na approch hiyo mafanikio yatakufuata, na siyo kinyume chake. Nakumbuka nilitoa shutuma kwa watu kama diamond jubilee hall humu ndani watu wakanisema. Kama hii show imefanyika diamond hakika wameikarabati, ambacho ndiyo kilio changu hasa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2006

    Du hapawezi kuwa diamond, nikisoma maelezo ya picha hapo chini hapa ni Ubungo plaza, sijaingia hapo maana nilipotoka dar bado palikuwa hapajafunguliwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2006

    Asha baraka ni mmojawapo ya wanawake wa kuiga Tz. Mie nampongeza sana huyu Dada ASHA Keep it Up.wawawawawawa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. mume wake anaitwa Saidi Bwela anakuwa naye mara nyingi ila hapendi kujionyeshaonyesha ni mtu mmoja cool hivi, huwa anapenda kumuacha huru mkewe katka mambo yake ya sanaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2006

    Sawaaaaaa Asha Baraka ni wa kuadimaya sana kwa mambo ya kuwaendeleza wasanii...hongera dada LAKINI JE UMELIPA PESA ULIZOKOPA KWA REBECA MAKELEMO ulipoenda kule LONDON??? jamani mbona hapo dada unaaibisha. Maana mwenzio alichukua mkopo ndio akakuamini kukukopesha ili hata uweze kuongezea kununua vifaa vya muziki kidogo vya kisasa. VIBAYA HIVYO hakikisha umelipa laa sivyo mola hatakubariki.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2006

    Asante! Nimeshalipa na sasa nina mpango wa kuja kukukopa wewe,Tafadhali andaa kama Paund 10,000 hivi..........

    ReplyDelete
  9. Asha kwani yale matamasha ya miaka mitano ya ASET hizi hela si umeshapata? hata hivyo hii ni hela ndogo sana inatosha kununua key-board moja ya KORG na chenji ikibaki unanunulia waya za speaker.achana na hayo hebu tupe ile adress ya web-site ya ASET

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2006

    Vyema Asha kama kweli umelipa. Huo ndio uungwana. Mtu wa maana wewe. Sio wengine huwa wanakopa halafu kulipa inakuwa tabu, especially pounds bwana si mchezo. Ndio maana unabarikiwa basi na unaendelea vizuri maana si mzulumishi.

    ReplyDelete
  11. Habari za mihangaiko dada Asha Baraka, nakupongeza na kila jema unalofanya na kukushauri usichoke dada mimi shida yangu ni moja naomba kukuuliza nimesoma website yenu ya ASET nimeona kwenye management yenu mko BARAKA wengi una mahusiano nao gani hao?na kweli wewe unataka kugombea ubunge Kinondoni at this Election?ni hayo tu mimi Hassanain wa Kinondoni Studio.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...