Home
Unlabelled
damas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUYU ANJELA DAMAS, NDIO MISS KATI YA MA-MISS KWELI ANAHESHIMA, NA ELIMU, YEYE KWELI NA HATOMBWI-TOMBWI HOVYO KAMA SHOSE SINARE, NA EMILY ADOLF.
ReplyDeleteHONGERA DADA ENDELEA KUBOBESHA NA KUTIA SIFA WATANZANI. ASANTE KWA KUIWAKILISHA TZ.
michuzi kama nitaweza pata email ya angela damas nina ushauri wa kike zaidi huyu binti ni mzuri sanaa tena mwangalie alivyopendeza hata hajakaa kama amechukuliwa na watu wengi labda mmoja tuu sasa nina ushauri mdogo sana kama ningepata address yake hata kama atatumia hiyo address kwa kupata huo ujumbe wangu tu inatosha halafu akaachana nayo..
ReplyDeletemimi sijasikia sifa yake mbaya, tusubiri wananchi...
ReplyDeleteMimi nakubaliana na huyo anony wa 12:00 hata mimi pia sijasikia sifa yoyote mbaya ya huyu dada, na mimi tangu hii picha imetoka nimechambuachambua kwa wahusika wa uhakika ambao lazima ningepata stori kama anatabia chafu lakini holaaa, sijasikia baya lolote. Na kama kawaida kwenye hii blog ya kimataifa watu kibao wanaingia, na hata huna haja ya kujitaja jina, na tukizingatia wabongo wasivyoweza kumkopesha mtu???? Lazima wananchi wanaomjua wangeshatoa habari, kama alivyotolewa SINARE, na ADOLF. Kwahiyo huyu Anjela DAMAS anatabia njema na hatoitoi uchi kama SINARE, au kuwa na tabia chafu zozote. Maana tunaona labda wazazi wa Sinare wameomba picha zake zitoke kwenye MICHUZI BLOG sasa maana tangu jana zimedisapia. Safi sana bwana Michuzi toa razi watu waumbuliwe hapa. Hongera Angela DAMASI kwa kuwa na tabia njema ya kiafrika. Ahsante saana.
ReplyDeleteAngalia hata kwenye picha ya chini baada ya hii, ambapo DAMAS amevaa taji na nguo nyekundu wakati anapewa funguo ya mkoko na Zakhia Meghji. Unaona wazi hata UNYWELE SIO FEKI, anaonekana shombe huyu dada. Na sio uzuri tu, pia ana TABIA NJEMA. kama walivyosema waungwana wamechimba sana kila mahala lakini mpaka sasa hakuna mwananchi ambaye ana jambo lolote chafu na baya la kusema kuhusu huyu dada, sio kama wakina Sinare. Dada endelea kubobesha. Asante na Hongera kwa Bwana na Bibi Damas kwa kumlea Anjela na kumkuza na tabia nzuri. Unajua familia za kawaida ambazo hazitambi na pesa wala majivuno, huwa zinalea watoto wao vizuri sana. Hongera wazazi.
ReplyDeleteNimependa sana maoni ya mama mkwasa halafu katika ushauri niliotoa kwa jack nafikiri nilitaja huyu dada kama dada aliyeelimika. Halafu tukubali mtoto ni malezi, huyu dada amelelewa vizuri sana hata wakati alipokuwa anasoma UDSM alionekana kutotumia umiss wake kuwanyanyasa wengine alikuwa ametulia sana. Ongera DAMASI mungu akujalie.
ReplyDeleteJamani jamani tunawaongelea hawa watu wenye tabia mbaya Ruge vipi? tuwekee picha yake tuapate usiri wa tabia yake....
ReplyDeleteNyinyi mnamsifu kwavile anakataa wanaume? hiyo ni sfa mbaya , fikiria kama ndio wewe ungetolewa nje ungemsifia? inawezekana ana tabia nzuri lakini kutoti... kwa vile ni msichana siyo sifa nzuri, ana uhuru wa kukataa kutoa kama karanaga lakini si kumsifia kiasai hicho.Watu wanataka kuvinjali viwanja bwana kwani anamtunzaia nani?hata huyo anayetunziwa anavinjali kwasasa.
ReplyDeleteWewe Anony wa 11:37 aaaaaaaaacha bwana, na kama unavyoona mwenyewe huyu dada ana sifa nzuri na kweli kama alivyosema mama mkwasa mtotoni malezi, umeona hata baada ya umiss alipoenda kusoma UDSM hapo mlimani, alikuwa hajivuni na kunyata kwa wenzie kuwa ni bora waaaala, alikuwa ni wa kawaida tu. Na si yeye tu jamani hata Hapiness Magesse, Saida Kessy wote hapa kwenye blog inadhihirisha hawana tabia chafu na kutoatoa uchi hovyo, laa sivyo wangebainika kama alivyobainika Shose Sinare na Emily Adolf, imebidi naona familia ya Sinare au Shose mwenyewe amwombe Michuzi aondoe kabisa picha na maoni ya watu. Afadhali Emily alijua hakutaka makubwa na hivyo hakutaka kabisa kutoka kwenye blog. Safi Emily wewe lay low tu. Na sio kwamba huyu dada anasifiwa kwa kuwa anakataa wanaume, waaaala, ni kwamba anajiheshimu na anajua ni bora kuwa na mwanaume wa mapenzi mmoja, kwa hiyo anajiheshimu, maana tusifichane bwana wanaume wenzangu, tunatiatia tu saaaana LAKINI ikija kutaka kuishi na mwanamke au kuchukua jumla na kuoa, kwakweli hutaki kuwa na mwanamke kama SHOSE SINARE au EMILY ADOLF ambapo unaona hata nishai kuja viwanjani, maana kutakuwa na njemba zaidi ya 3 au 4 ambao wananyoosha vidole kusema aaaaaaaaaaaaaaaah hata sisi tumetomba hapo. Dada hapa nakusifu Damas kwa kuwa mchoyo kidogo na uke wako. Endelea kujiheshimu dada.
ReplyDeleteMimi nafikirio umefika wakati bwana michuzi nimeona hata mama mkwasa sijui ndo yeye ninaye mjuaa. Inabidi waanzishe jarida la wanawake specifically kuwaelimisha hawa akina dada ambao wanajialibia maisha baada ya kuwa mamisi. Halafu katika jarida hilo tuwatumie watu kama damas, Maggese na wengine ambao wameonyesha mifano bora katika jamii.
ReplyDeletePia hii kwanza itasaidia vizazi vinavyokuja viweze kuwa na tabia nzuri/kutoaribika katika maadili. Hii pia itatupunguzia ukimwi hivyo hilo jarida lilenge kuwaelimisha wajue ukiwa miss ndipo unakuwa umeanza kazi ya kutengeneza future yako. Hivyo kuanza kuwa malaya haiwezi kukufikisha mbali. wakipata elimu hiyo itaweza kuwasaidia na kutusaidia watanzania kwa ujumla maana tutapata watu wazuri wa kuendeleza jamii kama vile walivyoweza kuiwakilisha nchi yetu.
Nyie ni nani kusema sema watu? Tangu lini mmeteuliwa kuwa majaji wa kuhukumu watu? kazi majungu tu sisi wabongo ndio maaana............................
ReplyDeleteMichuzi naomba uweke picha za mamiss wa sasa yaani kila mashidano ili tuweze kwuajua hao mamiss watarajiwa mapema tena tungeweza kuwapa hata ushauri mapema humohumo. Huyu mdada Anjela namsifia sana sijamsikia na tabia mbaya hao wanaotajwa mhh shuzi. Msichana ni kujiheshimu hata ukiwa na mepenzi mmoja anayejiheshimu inatosha ila ndio isiwe chumvi kusahau jamii. Kuna mamodel pia wanajitia wapo USA wengine wanatuaibisha tu tz kina magese tausi na angela waanzishe jarida la wanawake kuwapa wenzao ushauri wanaokuja hata wakiwa na tv prohram sawa tu
ReplyDeleteWABONGO MMEZIDI MAJUNGU!
ReplyDeleteKAZI KUSEMA WENZENU, MNAONA RAHA!
Ndio maana hatutaendelea kamwe, badala ya kuzungumzia vitu vya maana, mnazungumzia fulani anakataa wanaume.
Yanakuhusu nini maisha yake jamani?
Hilo ni jukumu lake yeye na maisha yake.
Wewe maindi vya kwako mwache yeye amaindi vyake.
We anony wa 4.40AM june06, Sasa nakuuliza swali hili tuendelee unataka tufanye nini? wewe unanishangaza mawazo ndiyo yamefanya watu wakaendelea wewe unataka tufanye je naomba unijibu ukitumia uzoefu wako katika maendeleo. Hapa mimi sioni shida watu kurekebishana kwanza tunasaidia kupunguza matatizo kwenye jamii zetu.
ReplyDeleteSAWA KABISA ANONY WA 6:12, MIMI PIA SIONI SHIDA YA WATU KUREKEBISHANA KAMA ULIVYOSEMA KUWA KWANZA TUNASAIDIA KUPUNGUZA MATATIZO KWENYE JAMII. TUMSHUKURU MICHUZI KWA KUWA NA HII BULOGU, NA SIO KUWA WA-BONGO NUKSI WALA NINI, WATU BWANA HUMU KWENYE MTANDAO WANASEMA UKWELI KABISA, WATU WENYE SIFA NZURI WANASIFIWA NA WATU WENYE SIFA MBAYA WANABAINIKA. KAMA HAWA WA-MISS TZ WETU. WENYE SIFA NZURI WAMESEMWA KAMA KINA HAPPINESS MAGESSE, SAIDA KESSY, ANJELA DAMAS NA WENGINEO LAAAAKIIIINI WENYE SIFA MBAYA AMBAO WANAFICHA KINYEMELA WAMEBAINIKA WAKINA SHOSE SINARE, EMILY ADOLF NA KADHALIKA. KWAHIYO WEWE USIYEKUBALIANA NA HAYA YASEMWAYO NA WAZALENDO, KAAA CHONJO, USIINGIE JAMVINI. USITUUZI HAPA, SHENZI TYPE.
ReplyDelete