
makami wa rais dr ali mohamed shein na waziri mkuu edward lowassa na waziri kiongozi wa znz shamsi vuai nahodha (pili kulia mbele) na naibu waziri kiongozi juma shamhuna (shoto mbele) na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia mambo ya muungano, dr hussein mwinyi (mbele kulia) wakiwa na wanachama wa kamati maalumu ya kushughulikia kero za muungano wa bara na visiwani
BINADAMU TUNA SIRI KUBWA NA MUUMBA ANAJUA YEYE ALITUUMBA VIPI.HAPA HAWA VIONGOZI KILA MTU ANA LAKE.KUNA ANAYEFUTATA MASLAHI BINAFSI NA WALE WANAOJALI WANANCHI WOTE...KUNA WASIOJUA HAPA WAMEFUATA NINI NA KUNA WALE WANAOFIKIRIA MILEAGE YA SURA ZAO TUU...ME...kaaazi kweli kweli..
ReplyDeleteILA HUWENDA UFAHAMU WANGU NI MDOGO NI NINI MAANA NA UMIHIMU WA MUUNGANO?...MSINITUKANE KWANZA NA MIMI NI MTZ BARA...tena Mchaga wa HAI...Me
ReplyDeleteKama wewe ni mtu uliyesomea saikoloji ya binadamu ni rahisi kugundua walio makini na jambo au ambao wako kwa mzaha mzaha tu kwenye hiyo picha hapo juu.
ReplyDeleteNa huyo Anyn wa hapo juu anayetaka kufahamu wa umuhimu wa muungano kwa lugha rahisi ni kwa nini nyuki na udogo wao wanaweza kujaza mzinga wa ujazo debe moja?
Ukiwa mbinafsi sana utaona umuhimu wala huta nielewa wala kunikubalia. Maana nyuki wangekuwa wabinafsi kila mtu angejitafutia chake. Tatizo tumekuwa wabinafsi sana ndio maana hata kushirikiana hata na ndugu wa karibu inakuwa issue.
Hata muungano usipokuwepo ni wazi hata Zanzibar haitakuwepo ila kutakuwepo na unguja na pemba.