wabongo hatuko nyuma sana kwa mavazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2006

    Mtu kujipenda bwana. Hasa nyakati za mitoko mtu unatakiwa utoke bomba kama mfuko uko safi. Wamependeza I support.

    Ila kwa ushari tu sio kwa hawa tu ila kwetu sote, ukiwa smart hivi usikute ndugu/wadogo zako wanaokutegemea au wazazi wanavaa za kuokota okota dampo au za kuchakaa, unatakiwa ujali ndugu pia.

    Soryy for dissapointing others but this is the fact for developing countries like Tz, others need your support!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2006

    Inaonekana walikuwa kwenye harusi hawa. Michuzi tuletee na picha ya harusi husika!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi hawa ni wanakamati wa harusi ya nani? au ndio ya Bi rupia? Tafadhali tunaomba picha za harusi ya Bi Rupia kama ulivyotuahidi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2006

    Itakuwa machi beta tukipata picha za tukio lenyewe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2006

    Hiyo picha ni said janguo,asha baraka na haji janguo. Asha ni mama yao mdogo hiyo hilikuwa kwenye harusi ya idd.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2006

    Pumbafu sana, vaeni mavazi ya kiafrika, hamuoni mzee Olusegun Obasanjo, au King Mswati wanavyopendeza? Kujikataa na kujipendekeza hakutokufanya upendwe wala ukubalike

    ReplyDelete
  7. Ina maana wazungu wasingekuja Africa mpaka leo tunekuwa tunavaa vibwaya na visambi vilivyoshonwa aidha kwa magome ya miti au ngozi za wanyama, hah hah hah michuzi ungefanya kazi gani maana tusingekuwa na camera,ingebidi uwe mchoraji ili uchore mapangoni

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi huyu sio Said Janguo huyu.....sasa hizi suit au kanzu, naombeni ushauri.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2006

    Kwa suti hizo Mmh bado tuko nyuma

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2006

    Nasikia Haji alifirwa sana alipokuwa kule jela mtoni je ni kweli?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 06, 2006

    Sikuhizi Bongo mambo tako tu....si dada si kaka, tunamalizana tu....sodoma na ghomora hiyo...tutalia na kuzikana, maana tukiambiwa fulani usichovye hatuamnini, usimpe bwana yule hatuamni...basi tupimane kwa macho hivyo hivyo, ajali kazini...madai yao hata malaria inauwa! Jamani wabongo wanapenda vifo, kwa tamaa za kijinga kabisa!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2006

    Nyie wa2 nyie! loooh! kwani tako lina utamu gani?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2006

    MAVAZI SI MAENDELEO MICHUZI! NCHI YAHITAJI KUJITOSHEREZA NA VITU MUHIMU KAMA UMEME, CHAKULA, MAJI SAFI, MABARABARA, USAFIRI WA ANGA WAKUTEGEMEWA,SHULE NZURI ZA MSINGI NA ZA SEKONDARI, VYUO VINAVYOTOA ELIMU YA UFUNDI, SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
    FAMILY YA JANGUO HAIWAKILISHI EVEN 5% YA FAMILY ZOTE TANZANIA...

    ReplyDelete
  14. ...anony wa saa nane kasoro dakika nane...Huyo ni Asha Baraka kweli???michuzi hebu toa ufafanuzi...

    ReplyDelete
  15. Jamani wabongo mbona mnakili zisizoendelea sio ustarabu kukshifiana na matusi kama unaroho ya kwanini niwewe hawa wamependeza bwana mijitu kama nyinyi huwa hamfanikiwi

    ReplyDelete
  16. Je, hiyo saa yako hapo juu kushoto kabisa inasomeka kimombo au kiswahili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...