hapo ndipo kalipo kaduka ketu pale mayfair plaza mikocheni, na hilo ndo daladala nnalosanyia mitaani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2006

    Michuzi nilikuwa maeneo hayo hivi karibuni nilipokuwa likizo na familia yangu pale shoprite lakini sikujua hapo ndio kwenye shughuli zako,basi nexttime tukija tutapita kujulia hali kama si noma.
    Joel.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Poa Michuzi. ujachacha yaani wewe ndio kati ya watu wa maana Bongo, kwanza tu kwa kupata kuwa wa kwanza kuwa kwenye GOOGLE ambayo ni World Wide...wewe ndio mwenyewe bwana, watu waache kuchonga. Na unatupatia wa Bongo fursa ya kupata habari mbalimbali na pia kutoa maoni. Congratulation Man.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...