wanamuziki wengi wameamua kwenda solo na kujipatia riziki kwa kutumbuiza sehemu za starehe kama alivyo huyu ritchie ritchie ambaye zamani alikuwa na tatunane kisha na jah kimbute na bendi zingine. hapa yupo cine club

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2006

    Huyu mshikaji ni mkali sana kwenye music basi tu hajaamua kutoka ili watu wamjue siyo, ila mimi huwa sikosi shoo zake.
    Keep it up Ritchie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...