kikosi cha kwanza cha bongo stazz a.k.a boyz II men kikiwa na nahodha alietundika daruga hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2006

    Kigerera Nakubaliana na wewe bila kutafuta ufumbuzi wa uhakika kuhusu umeme kwa kweli tutakuwa tunapiga mark time hapo hapo. Hivi labda niulize kwa yeyote mwenye kujua zaidi kuhusu ile gesi ya songosongo maana nilikuwa nasoma kwenye magazeti kipindi fulani kuwa ikishakamilika tatizo la umeme litakuwa hakuna Tz. Sasa sijui hiyo gesi imefikia wapi na imesaidiaje tatizo la umeme. yeyote mwenye taarifa ya kuhusu gesi ya songongo tafadhali hebu tuhabarishe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Jamani Mkapa anazidi kufumka!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    TANESCO hawasemi ukweli watanzania tuna macho ingawa tumenyama kimya. WATUELEZE KIUFASAHA MACHINE YA KUTOA TOPE MTERA DAM ILIYONUNULIWA KWA FEDHA NYINYI WAKATI WA MKAPA INAFANYA KAZI IPASAVYO? JE KINA CHA TOPE NI KIASI GANI KWENYE BWAWA.waandishi wa habari wafuatilie hili.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2006

    Kwanza kabisa nasema Kikwete na Lowassa aka "Boizi tumeni" wanajitahidi sana na watanzania wanaamini hivyo. Nasema zoezi lao la kusafisha serikali liendelee, wasiogope maneno ya wachambuzi wa siasa wala watu gani, nchi ilishaoza hii, na sis walala hoi ndio kila siku ilikuwa kazi yetu kuwashangilia wezi wa mali za serikali na watoto wao na mvua ikinyesha tunamwagiwa maji na magari yao isiponyesha tunahenyeshwa na vumbi.

    Unajua kasi mpya ni nzuri lakini, isipo kuwa na viwango italeta madhara. Pamoja na hayo yote mimi nasema Lowasa na Kikwete wameanza vizuri, makosa ya hapa na pale lazima yatatokea tu ndio maana ya ajali kazini. Kikubwa ni kwamba sehemu kubwa ya wanayoyafanya ni yale ambayo watanzania walikuwa wanayahitaji kwa siku nyingi lakini walikuwa hawayapati hasa katika awamu iliyopita ya Mzee BM ambaye alizungukwa na wahuni waliojitarisha wenyewe na sasa wamemuacha peke yake analaumiwa na watanzania. Lakini poa tu yote maisha. Ila kusema ukweli Mzee BM alitunyanyasa sana sisi waandishi wa habari, kama yupo fea ni vizuri atuombe radhi, ili nasisi tutulize hasira zetu vinginevyo tutaendelea kuwa na aleji naye. Alituudhi sana alipokwenda kutuponda katika vyombo vya habari vya magharibi kuwa sisi ni BOGUS, yaani katuulia soko kabisa. Tunamshukuru Kikwete hata anakumbuka kutuchukua katika ziara zake, huu ni mwanzo mzuri.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2006

    Kumbe wewe anoy 2:51 ni mwandishi wa habari! Unafirwa. Mkapa aliwafundisha adabu mkome, he did need you wambeya wakubwa nyie ndio watu mnaopotesha umma kuhusu hali halisi. Kama wewe unaangalia maendeleo ni huo wali mnaopewa ikulu hau hizo safari zenu za bure bure ipo siku tutawafira bila condom. Eti awaombe msamhaa, nyie ni nani? Kwendeni zenu. Hao unaowasifia mbona wanahusika na IPTL na nyie hamuandiki kwa nini wako bubu na hilo. Andikeni kuhusu AICC washenzi nyie mtakosa hizo pilau mnazozikimbilia. Haya mimi nasema nyie ni BOGUS wakumbwa hamjua hata mnaandika nini. Ndiyo BM amefanya makosa lakini nampenda Mzee BM kuliko nyie mnaopenda kugongwa ngozi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2006

    Huu unene wa baba BWM unatia mashaka, inawezekana ni safura hii, au kitu kingine. Unene wa kiasi hiki unaweza kuleta kifo cha mapema. na Afrika bado inamuhitaji huyu mtu, na hasa kimawazo kutokana na uzoefu na utendaji wake wa kazi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2006

    Hivi hizi suti na jua la bongo, aaah, utadhania imeandikwa kwenye msaafu au biblia kuwa lazima wavae suti! Halafu hawa ndo viongozi wa nchi, kweli ndogo tuu kama hii hawawezi kuiona. Kwa mtindo huu watu wenye akili nyingi wataendelea kuikimbia Afrika na kubakiwa na magalasa mengi na turufu kiduchu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2006

    Halafu nyinyi mnaoandika meseji ndefu mkae mkijuwa kuwa meseji zenu hazisomwi na mtu. Watu hawana muda wa kusoma makala ya mhariri humu, hii ni blog tuu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2006

    Anony wa 4.52 ulichoandika kweli unajua miandishi ya habari ya Tz inapenda sana rushwa sasa kwa vile JK na EL anawapa rushwa ya hivyo visafari basi ndio wameuza uhuru wanamfagilia kwenye magazeti yao hata na yasiyokuwa na ukweli. Hivi nimuulize huyo mwandishi anaweza akatuambia ni nini cha maana sana ambacho huyo Jk ameshawafanyia walala hoi wa Tz. Tuache kukimbilia kwenye conclusion ni mapema mno.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2006

    Ukiona watu kama simba huwa ni wavivu wa ufikiria hujalazimishwa kusoma kila kitu. Wewe soma kadiri ya uwezo wako. Mtu akikupa chakula siyo lazima umalize unakula/unakunywa kutokana na uwezo wako basi tu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 14, 2006

    Anony wa June13,06 9:46PM umeisha ambiwa BMW ameisha maliza muda wake kwanini ukumshauli abaki madarakani? Wewe mpaka sasa unataka jangili arudi kwenye ofisi zetu? Alivyo uza vinatosha bwana. Wewe sasa hivi ni mnene alitaka mashirika yote yawe yake, Migodi yote yake, Vyuo vyote vyake, Viwanda vyote vyake, Magodown yote yake na Mk wake, hiyo kweli ni akili au ni mtu wa kuzungumzia. Haki ya nani mimi ninavyomuona ananitia kinyaa. Naona kama vile mlafi, hivi hata kama una watoto wangapi? kwani yeye ameambiwa na mwenyezi mungu kuwa atahishi milele. Alitaka nini mpaka anatukana watu mapovu yanamtoka utafikiri kala funza. Acha bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...