jamaa akikata kiu kwa mchuuzi wa madafu ambaye pia anauza miche ya minazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2006

    Michuzi picha hii inanikumbusha sana nyumbani. Unakumbuka kwa Babu Kibasila Sec. pale 1986? Madafu nje nje? mihogo ya kukaanga? na viazi mviringo? (Ulaya)?au chips kwa jina jingine?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...