richard kasesela akimueleza jamaa juu ya kondomu mpya ya kike iitwayo lady pepeta pamoja na kondomu za kiume ziitwazo dume zilizoanza kutumika hivi karibuni bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. michuzi huyu jamaa ndiyo nani? tupe profile yake maana bongho sasa kweli tuko juu tunatengeneza condomu hadi za kike. kweli hii kasi imekuwa kubwa...........tujipongeze kwa kuongeza kasi ya kupambana na ukimwi

    ReplyDelete
  2. Wavae wavae wavae wavae hizo condoms bwana gonjwa linazidi kupanda kwa kasi zaidi, sana sana kwa idadi ya watoto wanaozaliwa nao kutokana na statistic ya doctors wa Tanzania. Waoneeni huruma jamani watoto ni malaika tu hao hawajui kitu we! Utamu unausikia wewe na mwenzio tu, sio mtoto! Mna roho jamani nyie kweli? Vaeni vaeni vaenivaeni TUVAENIIIIIIIIIIIIII!!!! WAKE KWA WAUME! Hatuna ujanja wala choice!

    ReplyDelete
  3. sema bwana na ugonjwa huu uligonga pabaya.yaani mtu kama unaweza kutulia na mzigo mmoja ni babu kubwa.condom flava hamna kabisa.alafu mzee utavaa siku mbili tatu utamwamini demu.baada ya week mmemwagana.unapata mwingine.yaani saa nyingine mungu anasaidia tu.ila tunaoweza jitaidini kuvaa.najua tupo wengine tukifika kati twatoa.kupasuka na kadhalika.sema nyie wasichana aisee tusaidieni mkiwa na msimamo wavulana tutavaa.sema mkishaanzaga kulalamika hamsikii raha na mungu aliwapea sauti za kulalamika ndo mambo yanaenda vile.TUJITAIDI KUVAA

    ReplyDelete
  4. Huyu Richard ananikumbusha sana maisha ya pale mtaa wa migombani enzi hizo,mdogo wake anaitwa JOBACA nawakumbuka sana tu.natamani watu turudi sehemu tulizokulia hata siku moja,itakuwa poa sana

    ReplyDelete
  5. migombani ipi ya survey au wapi???

    ReplyDelete
  6. mimi nataka tu kujua ukweli hapa hamna mtu anaandika ukweli.mimi ni mvulana kwa mwaka huu nilipo hapa nimetembea na zaidi ya wasichana watano kwa wakati tofauti.lakini wote tulianza na condomu tukaishia kuvua wote.hivi ni mimi peke yangu au na wengine inawatokea!!??

    ReplyDelete
  7. anony wa monday 12:47:38 am, kwa kweli wewe si mzima na kuma la mamako unavirusi. haya sio mambo ya kutwambia na nyinyi ndiyo mnaotafutwa mnyongwe maana unawaambikiza watoto wa watu virusi.

    ReplyDelete
  8. najua si vizuri lakini huyo anoy aliyetangulia nadhani ndo kasema labda ukweli kidogo.ila mimi nina rafiki yangu kaniambia mwaka huu katembea na wasichana 25.na ana gf

    ReplyDelete
  9. Me & my bf tumetest wote tuko negative lakini mpaka leo mwaka wa tatu tunatumia condom tu! Sababu ya tabia zetu SISI waafrica za uongo, kucheat na kutokujua what is LOVE is!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...