bendera yetu inatanua hapa newala kama kawa. hapa ni kituo cha rokifela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. INGETANUA KAMA MAISHA YA WATU ULIO WAHACHA BONGO WANGEKUWA NA MAISHA MAZURI NA YA KUAMINIKA AU USHA SAHAU ULIPO TOKA?

    ReplyDelete
  2. Michuzi usitake kutufariji kwa sifa za kijinga bwana! Bendera inatanua nini hapo zaidi ya kutangaza umaskini tu? Mfano, leo the whole of Dar had no power asubuhi hadi jioni. Labda useme iko hapo kujitangaza tupate misaada. Ujinga tu kujiweka na usiolingana nao hata kwa punje then useme unatanua. Come on, think big bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...