ekta 'dokta cheni' ni mmoja wa wasanii wa luninga wenye mafanikio makubwa kimaisha hapa bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kwani daladala ya haina kama hii ni kiasi gani kwa pesa za madafu? Bado zinalipa hapo Bongo? Kwa wanao jua tupeni majibu basi waungwana.

    ReplyDelete
  2. biashara ya usafiri si mchezo,inalipa hasa,itaendelea kulipa hata miaka 20 ijayo,kazi kwetu wabongo kuwekeza

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Huyo Cheni anamiliki daladala ngapi mpaka uyaite mafanikio yake makubwa??Mafanikio makubwa nadhani ni tungo tata.

    ReplyDelete
  4. Mimi nimemuaelewa kuwa jamaa anapata 5% ya kila daladala kuweka jina la Dr Cheni. kwani Bongo zipo daladala kwa majina ya watu maarufu kama Mandela Trans lakini Mandela sio mmiriki. Kuhusiana na mafanikioa ya Dr Cheni amecheza filamu nyingi anakubalika.

    ReplyDelete
  5. Anony wa sep 10 8:09, bongo hutujafikia huko kwenye kulipia majina. Hata wee kama unataka la kwako litokee we waambie tu wala hakuna malipo. Hebu tuambie akina Zidane, Roberto Carlos, Drogba wanalipwa kiasi gani maana majina yao yamejaa kwenye madaladala. Au hata huyo Mandela uliyemtaja analipwa kiasi gani? Sina hakika kama cheni anamiliki hilo daladala na mengineyo lakini nafikiri Michuzi alimaanisha kuwa anamiliki. Hili pia sio la ajabu kwani taxi na daladala nyingi zinamilikiwa na watu waliokuwa madereva baadaye wakaanza kwa kununua mishipa yao wenyewe
    na taratibu wakatoka. Cheni alikuwa (sijui kama hadi sasa ni bado) dereva wa kipanya.

    ReplyDelete
  6. Hizi Daladala ni za mwanamke mmoja Mama mtu mzima anaitwa Mariam,Zina lala kwa kina cheni na huwa ana msaidia katika kusimamia madereva na matengenezo, ingawa kuna tetesi kwamba huwa wanauhusianao wa mapenzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...