baada ya wabongo kufanikiwa kuifunika blongo ya kongo kwa bongo flava, nguvu sasa zimeelekezwa kwenye sinema za kinaijeria ambazo zinatawala bongo kama ndombolo ilivyofanya zamani. hapa nasir mohamed (kulia) anaeishi ughaibuni yuko bongo akitengeneza moja ya filamu zake nyingi.
Home
Unlabelled
filamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mbona hakuna hiyo Picha unayo isema?
ReplyDeletemweee,technical error au michuzi unaturusha?
ReplyDelete