wikiendi hii photo point tumepata bahati ingine ya kutembelewa na mdau anaeishi ughaibuni. huyu si mwingine bali ni edgar leonidas anayebukua kule manchesta. asante eddy kwa kuja kutupa taff

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Habukuwi wala nini anabeba box muongo kwanza vyuo ndio vinafunguliwa yeye bado yuko huko inakuwaje?rudi baba box zinakusubiri

    ReplyDelete
  2. Ame graduate mwaka jana huyo

    ReplyDelete
  3. For your information new semister start end of september....check your facts before you jump in to matters...

    ReplyDelete
  4. kwanza ina muhusu nini huyo kusema abukui na ana beba boksi? chochote afanyalo linamhusu yeye na familia yake. Hacha umbea we anony. wa kwanza. Hacheni roho za korosho.

    ReplyDelete
  5. Kasahau kukuletea jersey mpya ya Liverpool

    ReplyDelete
  6. MICHUZI MIMI NIKO HAPA MANCH. BWANA,
    HIVI HAWA WATU WANAKUJA KUKUAMBIA WANABUKUA HUKU AU WANABAMIZA?.......UPS!

    ReplyDelete
  7. Dogo edgar naona siku hizi unazinga la shavu mzee haina ubaya kaka kula kuku playboy...

    ReplyDelete
  8. Mi sijaelewa ina maana jamaa kenchi zimepanda hivyo kwa sababu ya kubeba mabox? mi nilivyosikia Manchester nikajua ile camp ya masela pale Temeke

    ReplyDelete
  9. majungu mpaka lini?

    ReplyDelete
  10. Michuzi eeh kwa mara nyingine tena jezi huendana jinzi au kaptula au basi hata treki basi, sio pantaloo, huelewi tu???!! ndio blogu yako, nini, mi nakutonya kiushkaji tu uko mjini miaka mingi Kaka!!!

    ReplyDelete
  11. we hapo juu una kisa na michuzi hio unayoiita pantaloo mbona ni kama jeans(cadet) ambayo ni poa tu na hio jezi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...