ndesanjo, hilo daladala unalotaka kuja nalo nakushauri uliache. huku hakuna pakingi wala barabara, ohooo. shauri lako...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hivi jamani ile gari ya Mr Bean ni aina gani? maana naona ile ndio inafaa sana kwa hii hali ya uhaba wa parking Bongo, ile hata juu ya huyu askari inakaa

    ReplyDelete
  2. Lakini hapo ni 'downtown' hivyo car park ni tatizo...nadhani hata miji mikubwa duniani ukizuka city center utashindwa kupata 'pakingi' jamaa wa Seoul wanaweza kuelewa hali hii..

    ReplyDelete
  3. Kila mji mkubwa una tatizo ya parking. Hapa Boston ukija na gari lako lazima utapata parking tiketi. Halafu parking ghali dola $30! Watu wanaacha magari yao na kupanda subway! Lakini Boston si mji mkubwa kama New York.

    Michuzi, hiyo picha inaonyesha Round-a-bout kweli. DUH! Round and round we go! City Centre panakuwa na congestion kama Lagos.

    ReplyDelete
  4. MBONA MAGARI MENGI HAPO YANAONEKANA MACHOVU? NDIYO MAANA MNANIONEA WIVU NA BMW YANGU 7 SERIES V.8 TULBO 2006. JAMANI WABONGO HATUPENDANI KABISAAA, ANGALIA HAYO MAGALI YOTE KAMA DALA DALA TU.

    ReplyDelete
  5. Msami, the word is TURBO, na sio TULBO, halafu ni MAGARI, sio magali, inatilisha wasi wasi kidogo ikiwa gari lako mwenyewe hulijui vizuri, watu wakila uta describe vipi kwa wazee, TULBO? aibu wannabe a lawyer wannabe!!!

    ReplyDelete
  6. We Msami acha ushamba. Magari umeyajua leo nini? Unaonyesha jinsi gani uklivyokuwa limbukeni. Kuwa na BMW sio ku win maisha. Gari ni chombo cha usafiri kikufikishe uendako, na ni sawa na household item, like a spoon, or a cooking pan. For your info., kuna wa TZ wako U.S. wanamiliki franchise za McDonalds na hawaji kwenye blog hii na kutambia watu. Sasa unajua inagharimu kiasi gani ku own franchise ya McD? Inabidi uwe na cash si chini ya $2 million. Sasa kama bado unataka kutamba, try to compare yourself with your BMW to the guy who owns several McDonald stores. We kweli kichwani haziko.

    ReplyDelete
  7. Once again WEWE UNAYEJIITA MSAMI KWA NINI UANTUMIA JINA LA WATU KAMA UAN MATATAIZO NA HAO WATOTO WA MSAMI SI UWAPIGIE SIMU UWATUKANE KWA NINI UNAWAPAKAZA WATOTO WA WATU MATOPE..PLEASE ACHA USWAHILI TUMAI JIAN LAKO BASI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...