mfalme mswati wa swaziland akichagua jiko jipya jumapili mbabane

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Yaani jamaa kahalalisha u player sio. Inaelekea wanawake wa Swazi wanakubali kuolewa na cheaters. Hapo hujamweleza Mmarekani bado.

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu jamaa anaishi karne ya ngapi? Mambo haya unayapata Afrika tu. Shame on him

    ReplyDelete
  3. Ndugu yangu ipi afadhali, hii ya kuhalalisha kama walivyofanya babu zetu? au ya kuwa na mke mmoja hadi wanne halafu una nyumba ndogo, kubwa, ya jirani, nyembamba na nini sijui na vimeo msururu?

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  5. Afadhali hii ya kuhalalisha kuliko yetu ya kinafiki.

    ReplyDelete
  6. wewe anony wa september 05,5:06 am...mimi sijakuelewa unachosema kwa kweli,unajua nini unaongea?

    heb someni jamani kabla hamjatuma.

    maana umeanza kwa kujiuliza kwamba huyu jamaa anaishi karne ya ngapi , ina maana haujui kwamba huyo ndiye yule king mswati kama ulivyopewa maelezo ya kutosha na bwan amichuzi..

    pili unasema mambo haya yanapatikana africa na shame on him...hebu weka vizuri.

    mimi ninavyoona wewe unafikiri huyu jamaa ameiga utamaduni wa watu wa nje kama wale ambao wanajifanya ni wamarekani wakati kwao ni samvula chole...anakataa kwao mtu.

    huyu jamaa anadumisha mila ile wengine walishashindwa kama haujamfahamu vizuri.

    suala la kuangalia hapa ni kwamba je hizi practice ni nzuri au je zinamfundisha nini mtoto wa kiafrica katika dunia hii ya leo ambayo imejaa maradhi.

    jiulize.........

    ReplyDelete
  7. I wish I was Mswati. Haka kautaratibu ni wanaharakati tu ndio wanaokapigia kelele. Ni kautaratibu kazuri sana. Kwenda na wakati sio maana yake kufuata mambo ya wazungu. We must have at least some of the elements that differentiate the African from the people elsewhere not like the situation right now where the folks will not give damn about you simply because you can't speak the mzungu's language or even wear the mzungu's way. Anything is only justifiable only and when it has been mzungu's brainchild.

    ReplyDelete
  8. Kaijage! Kwa huo utaratibu angalia watu wanavyopukutika kwa Ukimwi. Bado tu unasema ni utaratibu mzuri? Kuna maana gani watu wanaoa leo, miezi sita baadaye wanazikwa, kwa sababu ya kautaratibu hako ka kuwa na wapenzi wengi, au wake wengi. Ipi bora, starehe ya dakika chache itakayo result kwenye mauti, au kuwa mwaminifu ubaki na afya yako? Besides, kuma ni kuma tu, ni ile ile tofauti ni imagination ya mtombaji.

    ReplyDelete
  9. ni kichwa kinachotoa haya mawazo au miguu inayotumika kutembelea.

    kuna watu wameoa wake kibao na wako hai.kwa kigezo chako ni kwamba masheikh wote wenye wake zaidi ya mmoja wana ukimwi... angalia wewe, samaki awezi kaa nchi kavu.

    waswazi wanajua utaratibu wao na ndiyo maana haiwezi tokea mtu au kiongozi kufa.ila kwenu nyinyi unaweza kufa ukijaribu kwa maana katika hiyo ndoa ya wengi utaokota tu mtaani na wala sio kuangalia vilivyo vyema.

    watoto hao ni bikira na hata kama sio bikira ni kwambba yuko safi.hawawezi muacha mfalme akuingilie ukamuuwe.kuna kuwacheck kabla haujaenda kupewa pepo na mh.muswati.

    ReplyDelete
  10. Lakini jamani msiwe wabishi inabidi watu waende na wakati hii practice imepitwa na wakati tu kama mambo ya kukeketa wanawake na mengine mengi ya kumdhalilisha mwanamke,sidhani kama hao wasichana wote wamependa kwenda hapo kuchaguliwa,nadhani pia wazazi wanachangia,na si dhani kama wote wamefika 18 hapo,huyu king nafikiri akili zake hazina akili ni phedophile na rapist mkubwa ,jamani inabididi apelekwe GEneva na ashtakiwe kwa userial rapist.

    ReplyDelete
  11. hey yo,an active member of the so called the movement for gender equity, that dude who is walking around looking for some beautiful to shaggy with is not a serail rapist...he is the gangsta!

    ReplyDelete
  12. Haya maswala ya kuwa na wake wengi hata nchi za magaharibi bado yapo.Nafikiri mmesikia mambo ya akina Warren Steed Jeff wa Fundamentalist Church of Jesus Christ of Latter Day Saints (FLDS).Hawa wanaamini kuwa na wake wengi kunasaidia hata kwenda mbinguni.Je tunasahau hata katika Uislam unaweza ukaoa zaidi ya mke mmoja? Pia kuna mambo mengi tu yafanyikayo magharibi kati ya watu waliofunga ndoa yanafanya ndoa iitwe ndoa kwasababu tu ya tafsiri ya ndoa ijulikanavyo sasa.Nacho jaribbu kusema watu kuwa na wapenzi wengi haiko Afrika tu. Ila ukweli ni kwamba ni hatari kuwa na wapenzi au wake wengi, watu tutake au tusitake huo ni ukweli.

    ReplyDelete
  13. Simon ni kweli. Lakini hapa U.S. polygamy ni illegal anyway. N huyu jamaa Jeffs ana face charges sasa za kupanga ndoa za underage wasichana waolewe na wazee. Lakini mimi na amini mambo ya kuwa na wake wengi ni more psychological kuliko physical. Kwa sababu maumbile ni yale yale, hata kama utalala na wanawake 100, your pace itakuwa the same, na your boiling point ni ile ile. Kwa nini kujisumbua na kujipunguzia heshima?

    ReplyDelete
  14. To get married to a lot of women is one thing. To be able to have sex with all of them is quite another.
    Our forefathers, the likes of Mkwawa, were used to have a couple of wives and were able to take care of all of them.
    Cheating and pretending are the mothers of all sins.
    Check out the way the former Nigerian president Sani Abacha passed away with a young lady on his chest after turbocharged himself with Viagra.
    In U.S. polygamy ni illegal, right?. Look the way, president Clinton was humiliated by his relationship with Monica Lewinsky to the extent of almost being impeached.
    What His Majesty, King Mswati is doing is a bit of transparency. The people will give blame on him simply because he is not cheating.

    ReplyDelete
  15. Clinton didn't practise poligamy. He cheated, which is not a crime in civil law, but crime under U.S. military law. That's why he wasn't charged. It was a morral issue though. But Mswati is just a nasty bitch ass nigga using tradition as an excuse to explore, or whatever he thinks he is doing. Some African traditions don't fit the current situation, where we have some un curable STDs, and off course HIV which it can take up to three months to show up in the system.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...