Home
Unlabelled
mtoto wa ilala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli afrika tupo nyuma kabisa jamaa anachezea makemikali na kichwa cha jamaa bila ata ya kuvaa glovu. Ndo maana afya ni mgogolo hauwezi kujuia ana maladhi gani jamaa au hizo kemikali zitaleta madhala gani bila ya kuvaa glovu. Ni ushauri tu.
ReplyDeletenadhani ushauri wako usiwe kwa Afrika tu. Nimeona hayo mambo hata US.
ReplyDeleteUnashangaa vipi huyo anayempaka mwenzio makemikali bila kuvaa gloves bila kushangaa huyo anayekubali kuwekewa hizo kemikali kichwani kwake kabisa?Nani ana hatari zaidi hapo?
ReplyDeleteHapa Marekani dawa zote za relaxer,curl nk huwa hazikosi kwenye orodha ya bodi ya madawa kwamba hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Jamani, hamshangai watu kufanya NGONO bila CONDOM, ati mnamshangaa Bitebo.Haiingii akilini!!
ReplyDeletejamani anony wa kwanza kanichekesha na afya mgogolo badala ya MGOGORO,maladhi badala ya MARADHI na madhala badala ya MADHARA.....ndo yaleyale ya NYELELE LOAD KWENYE LOUNDI ABOUT....Badala ya Nyerere Road kwenye Round about......hey man stress free,ni KUFURAHI
ReplyDeletehahahahaha anonymous.7:40 aise umenivunja mbavu sana u r on the spot! nice one
ReplyDeleteamewafuraisha kwa r zake au ata kwa pointi zake? mbona hamsemi kwa pointi! wabongo bwana tabu tupu. Ujumbe umefika.
ReplyDeletepicha inachafua roho!!!!!!!!!!!!!! ghghghghghgggggghhhhhh
ReplyDelete