hapa ni sinza mori juzi usiku. jamaa walitoka salama wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo ni Sinza Mori maeneo ya wapi?

    ReplyDelete
  2. Jamani Bongo inabidi tuache haka katabia ka kushika usukani baada ya moja moto moja baridi!Huku ughaibuni wakikubamba ni lupango maja kwa moja na leseni marufuku si chini ya miaka kumi na ukiua kazi unayo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...