raha ilioje kuona wabongo ughaibuni na nyumbani wana mapenzi mazito na nchi yao. hapa ni uwanja wa imarati wa aseno jumamosi brazili ilipocheza na uingereza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mapenzi mazito na nchi yao....

    ReplyDelete
  2. Yuo are right Trio kaka, these are some of the nonsences we are facing here Ughaibuni, from watanzania washamba, soo primitive! Damn!
    Sasa hiyo bendera yetu hapo inahusu nini? Au kujionyesha kuwa hata wao wanaweza kulipa 20$ kuona mpira, halafu mechi yenyewe ya kirafiki, naona kiingilio kilikuwa 5$ au bure!

    ReplyDelete
  3. Sharrap nyie washamba akina Trio Kaka, ni lazima utangaze taifa lako katika kila oppportunity unayopata. Mimi hapo kwenye hio mechi niliona mpaka bendera za japan, kwani zilikuwa zinahusiana vipi! Wacha watu watangaze bongo yao, kama unaona haya kuonyesha bendera za nchi yako onyesha bendera zako za UK basi wanaokubebesha maboksi....

    ReplyDelete
  4. Ni vizuri bendera yetu ikipeperushwa popote duniani kama anavyosema mheshimiwa hapo juu. Lakini la pili ukimuangalia yule aliyeshika bendera utaona amevaa nguo imeandikwa brazil. Ujue kwamba hawa pengine wanaishabikia brazil kwa kuzingatia kuwa kocha aliyeinoa timu yetu ni mbrazili. Hii ndio maana watu wanasema michezo hukuza mahusiano. Kocha tu anafanya jamaa waipende nchi yake. Na nyie mlieko ughaibuni muonyeshe tabia njema huko kwa manufaa yenu na taifa.

    ReplyDelete
  5. Maana yake yeye ni Mtanzania lakini anashabikia Brasil, sasa hapo sijui ushamba unatoka wapi?

    ReplyDelete
  6. Mechi ilikuwa Brazil na Wales..Someni habari za sporti..Brazil-2 Wales -0..

    ReplyDelete
  7. mzee kevin, nimeona utaki mchezo! kama kawaida wabongo hawakosi la kusema! sour grapes!!!! mbona kama ulikuwa unamfukuza rogers?

    ReplyDelete
  8. Hili ndilo tatizo la kujilipua jamani.Hawa jamaa wamemiss mno nchi yao (TZ) ila ndio hivyo tena.Mtaishia kubeba bendera tu,nyie lenu Box tu huko!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...