nateta na da' khadija riyami wa sauti ya amerika. huyu ni mmoja ya wengi walionisaidia nifike hapa; wengine ni pamoja na adam lusekelo, steven rweikiza, attilio tagalile, willie chiwango, isaac mruma, daniel mshan, rose kalemela, halima shariff, wilson kaigarula, boniface byarugaba, charles rajabu, joseph mapunda, reggie mhango, mkumbwa ally, mangegesa mdimi, bob karashani, jonas mwasumbi, jonas marios, marehemu ernest millinga, mwalimu wangu hayati vicent urio, gasper msillo, adarsh nayar, hamidu bisanga na wengi wengine ambao nikitaja majina yao wote tutakesha. hawa ndo walionipokea na kunifundisha kazi ya uandishi deili niuzi mwaka 1990. wabarikiwe wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hey Michuzi,

    Mbona hujanitaja? Au umesahau zile adventure zetu.

    Nami naongeza majina... James Mwakisyala, John Waluye, Balinagwe Mwambungu, Mwamoyo Hamza, bila kuwasahau Mzee Saidi, Mzee Kinyunyu, Mercy na Mahomba.

    Deili niuzi idumu!

    ReplyDelete
  2. WEWE CHEMI CHE-MPONDA MAMBO KAMA HAYA WATU HAWAOMBI KUTAJWA MAJINA YAO BALI MTU MUHISIKA NDIE ANATAJA WATU WALIO MSAIDIA. TENDA WEMA NENDA ZAKO HIYO NI HAIBU. TETEH

    ReplyDelete
  3. Sasa anoy hapo chini nawewe umeulizwa mbona unadakia mambo yasiyo kuhusu? Nimemwuliza Michuzi lakini naona unadakiya dakiya.Mimi ninaupeo mkubwa zaidi wa kujua mambo huitaji kunifundisha wewe kunguni.

    ReplyDelete
  4. Anony wa 10:57 umeshusha ukweli..watu wameshatunzwa...chemi wewe ganga yajayo...you missed a cut..

    ReplyDelete
  5. Chemi noma mama unalilia kutajwa jina lako!! ebana hiyo kiboko aka misifa. haujui usemi usemao tenda wema timua zako? Next time utakuwa umejifunza usililie kutajwa majina na subiri utajwe huu ni kujipendekeza.ina uma lakini ndo ka ukweli wake naona unataka kupasuka hapo.

    ReplyDelete
  6. Shukrani kwa aliejifanya mimi. Lakini naweza kujitetea mwenyewe.

    Keep up the good work Michuzi.

    ReplyDelete
  7. chemi!

    samahani sikukutaja. wajameni hakika najisikia vibaya kama ambavyo mie ningejisikia vibaya endapo chemi asingentaja.

    sori chemi, na ni kweli nimewasahau kina James Mwakisyala, John Waluye, Balinagwe Mwambungu, Mwamoyo Hamza, bila kuwasahau Mzee Saidi, Mzee Kinyunyu, Mercy na Mahomba na pia kina lucas liganga, joyce mhaville na hayati milton kadete, mussa lupatu, moses kitururu, clement matuja na manjulungu.

    sijasahau advencha zetu za tamwa kule znazibar nilikopigwa piai kwa kutoa picha za unyago, na wewe kunitetea kwa nguvu zote. vile vile tusiwasahau kina lucas lukumbo, leila sheikh kassim, fatma aloo, ummy aley, ali uki, martin kabemba, mwinyimvua ahmed, ali meja na hassan mitawi anaeongoza jopo la zenj!!

    ReplyDelete
  8. Duh ama kweli deili noise gazeti la serikali. Waandishi lukuki wakati nakala zilizokuwa zikitoka ni 200 kwa siku. Ila michuzi umenikumbusha Mwambungu (Balinagwe) tulikuwa tukipiga naye soka miaka ya mwishoni mwa themanini wakati huo akisoma pale Nyegezi Social Training Institute sasa St. Augustine University Of Tanzania (SAUT). Alikuwa namba tano bomba kwelikweli

    ReplyDelete
  9. Michuzi,

    Asante sana. Tena tungeweza kutunga kitabu, The Adventures of the Daily News Editorial Team!

    Ama kweli tuna mastori!

    Lakini nafurahi kuwa niliweza kuwa kwenye team na kujuana na watu wengi. Nao walikuwa walimu wangu na marafiki pia. Wabarikiwe wote!

    ReplyDelete
  10. BICHWA HILO LIMESHA VIMBA KWA MISIFA. UMELIZIKA MAMA USHATAJWA BASI. SIKU NYINGINE USILILIE KUTAJWA UNAJIPA HAIBU MAMA.

    ReplyDelete
  11. Michuzi,
    Huyu Clement Matuja na Mzee Ryner Ngoji wako wapi? maana huyu Mzee Ngoji nafikiri unakumbuka ni veteran wa vita vya msumbiji, wakati huo yeye ali cover habari za vita vya ukombozi huko, please ningefurahi kuwasikia wako wapi hawa

    ReplyDelete
  12. Michuzi mimi naomba tu uniambiye ukweli huyu mama na mwanya mzuri kweli umemwacha hivi hivi tu? Lazima umelamba pale tena angalia unavyo muangalia ki basha basha, wee lazima umejidai tena unaonekana ni mtu wa kavu kavu. Jimama hili eti uliachie likupite? Wa Alaahi yakhe siamini lazima tu umenyonya.....

    ReplyDelete
  13. Clement Matuja ni marehemu. Sijui Rayner Ngonji yuko wapi. Michuzi tusaidie hapo.

    ReplyDelete
  14. Mzee tupe picha ya BEN KIKO repota namba moja wa radio tz na hajapata kutokea wa jinsi yake!

    ReplyDelete
  15. Mungu amuweke mahali pema Clement Matuja, ni lini katangulia kwenye haki? Michuzi kuna dada mwingine alijiunga hapo news room nafikiri kwenye miaka ya 90 au 92 anaitwa Magret Mtandika, hivi bado yupo?

    ReplyDelete
  16. Vipi Charles Kizigha? mbona hukumtaja?

    Kabla ya wengi uliotupa majina yao, kulikuwa na wandishi wengine pale deili nyuz miaka mingi iliyopita:

    Kassim Mpenda, Jenerali Ulimwengu, Emmanuel Bulugu, Albert Mnenge Suluja, Abdallah Ngororo, Clement Ndulute, Godfrey Mwakikagile, Naijuka Kasihwaki, Issa Kaboko Musoke, Raphael Ngila Mwase, Judicate Shoo, Felix Kaiza, Robert Rweyemamu, Tony Barros, Louis Guy Sebo Pereira, Amos Mwakasege, Deogratias Michael Masakilija, Ulli Mwambulukutu, Emmanuel Lenga, Nsubisi Mwakipunda, Philip Ochieng' na wengineo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...