kundi la shada lilo chini ya atanasi lukindo (kulia) na karola kinasha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Du hawa jamaa wa kati wamefanana kama ngao ya kidonge na ngao ya maji

    ReplyDelete
  2. Rhxoqsa.. hao vijana wawili ni mapacha, nimefurahi kuwaona tena nilisoma nao shule ya msingi wana kipaji kizuri sana cha kuimba,mungu awaongezee.

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa mapacha, nakumbuka mmoja wao aliimba vizuri sana wakati tukitafuta pop idol wa TZ

    ReplyDelete
  4. hallo mambo vipi ndugu yangu... unajua wabongo tuache mambo ya ajabu. yaani ukiona watu wana pendeza unaanza umesoma nao au naye....sasa kama kweli umesoma nao jitambulishe na shule gani uliosoma nao.

    ReplyDelete
  5. Huyu dada Karola Kinasha ana sauti nzuri sana na huyo Atanasi ni mumewe watu poa hawa...walikuwa wanapiga pale nyuma ya oyster bay hotel, je wanapiga wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  6. ahh twins, hawa jamaa wamefanana kama mayai. Haya basi mi nimesoma nao Shaaban Robert 1998-2000. Nilikuwa nao kwenye school choir. Pia nilikuwa nao Kanisani, pale St. Albans Anglican Church, Posta mpya. nakumbuka tulivyokuwa SRSS tulipiga "Wimbo wa taifa Remix" na kina Fina Mango, hivi ule mlupu bado upo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...