kuna alieomba kuona tena tabasamu hili. gary unasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Picha safi. Miss Africa World.

    Anafanya nini siku hizi?

    ReplyDelete
  2. Wewe usiseme Marehemu Banza Mchafu.

    ReplyDelete
  3. Aisee kumbe MREKEBISHARIKA NI MDADA!? sasa na sisi MIKAKA TUNARUHUSIWA KUKUANDIKIA KWENYE HIYO EMAIL YAKO?

    ReplyDelete
  4. Hii kitu lazima niichukue simnajua hapendwi mtu? Nitajitahidi kumwaga pounds nione mwisho wake. haya ndiyo mapigo yangu katoka bomba kama mzungu wangu, Bi sumari naomba basi nitumie picha katika hii ad jpemba2000@yahoo.co.uk nipe na account yako tafadhali, ama ukiweza naomba nikutumie ticke wakati Wema anakuja huku mje naye. nadhani itakuwa rahisi kupata visa kuja kwa mwaliko wangu. Michuzi tusaidiane huyu binti kasimama nipe mawasiliano kaka michuzi.Binti anaonekana issue kwenye ulingo. Basi poa Nancy nipigie simu basi!

    ReplyDelete
  5. We J Pemba naona unatafuta mitusi humu, hawa jamaa si unajua mitusi kwao kama mchanga, ukiingia anga zao wanakumwagia mitusi ya kutosha tena mingine new model, mi ningekushauri ukiingia humu jaribu kutunza heshima yako ili uheshimiwe. huu ni ushauri tu

    ReplyDelete
  6. That gal is hottie..damn..thatz all i say..
    anywayz guys,
    Here is the link to see Si Matani Music Video. This is the 1st single of the upcoming album.
    Si Matani is a Tanzanian Hip-Hop group residing in Columbus Ohio. It comprises of seven males namely, Kolumba, Babu (aka Jemedali), Boni “Wetare”, Akili “Lusungu”, Paul (aka Fat Black), Kevin (aka K-Velli) and Samson (aka Colabo).

    http://makaveli2006.blogspot.com/2006/09/makaveli2006-presents-si-matani.html

    ReplyDelete
  7. This girl got big forehead!

    ReplyDelete
  8. Anapatikana sana huyu dada mwenye tabasamu kali, bwana mbona mnajifanya zuga hapa? mbona anatiwa sana tu kinyemela tena hata anatiwa na waume wa watu nimtaje mmoja wao?? Bishoo yule Andrew Minja ndio alikuwa miongoni mwa watu wanaomtia huyu Nancy. Andrew choo sana mpaka mkewe Irene KIDA kamkimbia na mtoto, hataki hata kumjua tena. Mume gani huyo. Kwahiyo mwananchi mmoja hapo juu alosema atataka kujipiga naye, weye jitahidi tu, lazima utapata hii ngoma yenye tabasamu wala usiwe na shaka jiweke soap soap tu. na uingie kwa gia kubwa ni dondoo tu huyu.

    ReplyDelete
  9. Haya tena naona soap operas zishaanza, MONKEEEEYYY.....!!!! upoooooo????!!!!!

    ReplyDelete
  10. Jamani Andrew Minja kaachana na Irene??....so sad, mbona talaka nyumbani zinakuwa kama mamtoni sasa??

    ReplyDelete
  11. hii blogu balaa...mbona wau wanaanikwa hivi?michuzi blogu yako imekuwa daa hoti waya?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 24, 2007

    Jamani kaka zetu mambo ya chini hayana mwisho hayo. Isipokuwa magonjwa tu hasa hao mamiss hao kila mtu anataka apite.
    Mboan majina yenu famous mnayaabuse. Ushamba huo sasa. Tulieni na familia zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...