jei akizindua bomba la maji mwananyamala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. NAONA MZEE JIGGA MAN AKUPIGA BLING BLING!!! NAONA LOST BOYS WALIMUADISIA LOL..

    ReplyDelete
  2. Thats ma nigga J, Got money and all but he knows wats up, from Mercy 2 Times square, From Hollywood 2 Mwananyamala thats wats up, cant wait 4 the kingdom comes album coz i got even bigger reason now to support ma men not that i wasnt gonna do that b4

    ReplyDelete
  3. big up for the president carter all the way to wilaya ya kinondoni.

    ReplyDelete
  4. MICHUZI MWAGA MASNEPU YA BABU JEI ZII NDANI YA BONGO TANAYASUBIRI KWA HAMU HAPA BLOGINI KWETU

    ReplyDelete
  5. DUU!!HATA SIAMINI HUYU JAMAA KUFIKA MWANANYAMALA???KATIKA WATU WOTE WENYE PESA DUNIANI.HUYU NDIYE BOSS WA KWANZA KUJA TANZANIA ,HAKUNA ZAIDI YAKE.HATA BILL GATES HAJAWAHI KANYAGA BONGO,ULIKUWA NI UZUSHI KWAMBA GATES NA BILL CLINTON WAMETIA TIMU BONGO LAKINI NI STORY ZA WATOTO WA MTAANI TU.KWANZA KIKWETE ANGEMKABA SHATI HUYU BWANA JIGGA ANGALAU ATUJENGEE EAST AFRICAN UNIVERSITY NDANI YA DODOMA.PESA YA KUJENGA SHULE HIYO KWA BWANA JEI NI CHAMTOTO.
    HUYU BWANA AMELIPOTIWA NA GAZETI LA FORBES KUFIKIA MWEZI WA NNE MWAKANI ATAKUWA TAJIRI WA TATU DUNIANI KWA UPANDE WA WATU WEUSI.ANAYESHIKILIA NAFASI YA KWANZA KWASASA NI ROBERT.L JOHNSON,AKIFUATIWA NA BIBI O.W
    SASA WABONGO WANGEMKABA KOONI ILI AACHE ZAIDI YA HAKO KABOMBA.
    KWA SASA FEDHA TASRIMU USD $$$972,000,000

    ReplyDelete
  6. way to go Jigga, thats what its all about from brooklyn to mnyamala, very impressive, not enough words can explain your/his actions.

    ReplyDelete
  7. zero soma http://www.kenyaonetours.com/news.htm
    and look out for "Bill Gates is among prominent American who visit Tanzania as a tourist"
    futhermore, you would have to leaving on a really isolated spot to not know that bill clinton visited tz more than one time.

    ReplyDelete
  8. Hip-Hop
    As one of the world’s most lucrative Black dominated industries, the world’s next Black billionaire may emerge in hip-hop. Russell Simmons aspires to be hip-hop’s first billionaire[19] but he has some competition. According to the Panache report which did six months of research [20], the ten richest people in Hip-hop are:

    1. P. Diddy, $346 Million
    2. Jay-Z, $340 Million
    3. Russell Simmons, $325 Million
    4. Damon Dash, $200 Million
    5. Neptunes, $155 Million
    6. Dr. Dre, $150 Million
    7. Ice Cube, $145 Million
    8. Eminem, $110 Million
    9. 50 Cent, $100 Million
    10. (Tied) Nelly, $60 Million
    10. (Tied) Jermaine Dupri, $60 Million

    ReplyDelete
  9. MICHUZI WEWE NI MALAYA KABISA

    ReplyDelete
  10. Na karibu mtamwona Hoochie Girl Mbongo Cynthia Masasi kwenye video zake.

    ReplyDelete
  11. Mwananyamala ni jijini Dar! Waziri wa Maji una kazi kubwa kuyafikisha hayo maji vijijini! Ari Mpya! Nguvu Mpya! Kasi Mpya! Harambee! Oh! Maji Vijijini. Nyerere alisema: Twende Vijijini!

    ReplyDelete
  12. Safi sana nilisikia pia huyu jamaa alitaka kukutana na Waziri mkuu, hivi imefikia vionghozi wetu wamekuwa kibongofleva namna hii?hivi kama siku moja wasanii wa hapa kwetu akina Juma Nature. Solo Thang, Jay Mo,Profesa Jay na wengine wakifika huko maju watake kukutana na akina Tonny Blair, au George Bush itawezekana? au huyu jamaa ni mwanasiasa hadi ifike mahali isemwe kuwa anataka kukutana na Waziri mkuu?hapana hatujawa dhalili kiasi hicho lazima viongozi wetu waheshimiwe bwana.

    ReplyDelete
  13. This is not intended to over-simplify, ignore or debase our visitor, Jay Z, who is on a diplomatic mission drumming up the quest for water for all! Far from it!

    Jay Z has come a long way!

    The purpose of this short communication serves to enlightened Tanzanian youths regarding the deep context embedded into what Jay Z said when introducing his song, Hard Knock Life, "I grew up from the projects and can relate to all of ya about the struggles of life, you face everyday. But we are from the school of hard knocks because it is a hard knock life out there."

    Juam Williiam of National Public Radio, on Free Speech, comments over CBS Evening News - October 6, 2006) about that contextual meanings, not to mention drugs, murders, and gangs that pollute American ghetto environments:

    70 percent of black children are born to unmarried women....As many as half of black children drop out of high school...This is the scandal of modern American life...It is bad enough that a quarter of white children and half of Hispanic children are born out of wedlock. But when 70 percent of any group of children don't have a mom and dad it is a sure fire prescription for family breakdown, educational failure, poverty and criminal behavior...And the problem is compounded by Hip-Hop culture. All the videos feature poisonous images of black people as threatening, violent, over-sexed and dressed like pimps, strippers, gangsters and prisoners - you know, no belt and pants hanging down low. It is bad enough that these images are imprinted on white minds. But it is cruel to send young black people seeking direction the message that this is the most they can hope for in America."

    That comment was followed by a flood of listenner-responces:

    ...wear your pants to the knees, exposing your underwear, and reference black women as bi$%*#th's, or whores. And to top it off, many black radio stations, media, and record companies support this lunacy.

    Another: Mr. Williams words are "right on the money", I feel that our young black talented men, those in the "hip-hop" culture has sold out to the almighty dollar. For a new "caddy" and some "bling,bling" these young men are "imprinting" on the minds of our young men and women; by telling our youth that it's ok to think "being ghetto" is cool. It's time we stand up and say it! We need to move on as a people and not go backward. Thanks for saying what alot of us feel.

    Another one: ...the travesty that is happening to our youth in the decline of self respect and morality.

    ReplyDelete
  14. Hamjamboni?

    Kama Jay Z alitaka kukutana na Waziri Mkuu, ilitokana na yeye (Jay Z) kuwa Balozi wa Umoja wa Mataifs (Goodwill Ambassador and Messenger) katika mashughuli ya kutoa maji kwa wote duniani. Pamoja na kuwa mwanamuziki wa Hip Hop, Jay Z ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (aliteuliwa na Bwana Kofi Annan) katika maswala ya maji duniani, kama wakina Singer Geri Halliwell, Sir Peter Ustinov, Danny Glover, Dikembe Mutombo, Katherne Hepburn, Belafonte, Yusuf N'dour, Jolie, na wengineo wengi. Umoja wa Mataifa umeoana na "selebrti" community na kutoa veo vya Goodwill Ambassadors and Messengers of Peace kwa minajili ya kutangaza na kukidhi mahitaji ya baadhi ya mipango yake ya kuleta amani, usalama, maendelo na usafi wa mazingira.

    ReplyDelete
  15. Ndugu zanguni msioelewa mambo kweli unaambiwa knowledge is power
    Kwa nini watanzania mnapenda kulia kwa kila kitu, sasa Jigga kukutana na waziri mkuu ni issue kwa sababu ni rapper, kama hujui ni kwamba hawa vijana wa hiphop wanakutana na viongozi kila siku coz hawarepresent just hiphop but ni wafanya biashara na wahimizaji wa vijana. Jigga kakaa na prince Charles Uingereza, kakutana na Mandela S.Africa na huku wanatembelea shughuli kubwa tu za serikali, sasa kukutana na Lowasa wewe unaona ni big deal wakati mtu kama huyu anaweza kuleta misaada mingi tu bongo itakayo saidia maskini nyie.
    Like I said hawa wahiphop wanasura nyingi akija kwa waziri mkuu hajai kama Jay Z, bali kama Sean Carter(his Gov name).
    Na watu wanachosema kwamba huyu ni mtu wa kwanza kuja uswahilini sio just kuja Dar na kwenda kwenye mbuga za wanyama coz kwa njia hii aliyofanya kaona matatizo ya mswahili first hand na I am pretty sure atakuja kusaidia tena na akirudi huku lazima atakuwa na hiyo picha ya watu kuwa na matatizo huko na hata kuongea na wenye pesa wenzake kusaidia bongo thats wat people wanachosema, Gates na Clinton wamekuja lakini hawakwenda kutembea na kujionea matatizo mitaani kama mzee Jigga
    pEACE

    ReplyDelete
  16. michuzi mbona hujatuwekea sehemu ya kutoa comments katika picha ya CRITIC hapo juu !!??!!

    ReplyDelete
  17. Halafu Misupu huyo dada alikupa nini hasa huko katika ziara yako?Maana inaelekea unamuhusudu sana pamoja na huyo Critic mjingamjinga.Sasa mi naona kuna kitu na ndio maana unatuwekea sura zao hizo ambazo ni choka mbaya na wala haziuziki.Picha bila comments una maana tunapenda kuangalia sura?
    Duhhh ama kweli kuna kazi hapa......

    ReplyDelete
  18. Michuzi na huyo Critic ni mashoga. Nyie hamuoni hata hajaweka sehemu ya kutolea maoni kwenye hiyo picha ya Li-Critic na yeye. Usikute hapo walikuwa wametoka kulambana nanihii......sijui nani alilamba au kulambwa

    Floribet Nyani Ngabu aka Critic's Worst Nightmare

    NB: Pops where u at?

    ReplyDelete
  19. www.afrointroductions.com

    ReplyDelete
  20. kweli mijinga ya kiswahili iko mingi michuzi hakuweka coments kwa sababu hii, sasa mmeshindwa huko mnakuja kuongea huku kwa sababu mikundu yenu inawashwa msiposema usenge , nyie ndio mnaonekana mashoga kwa kuingilia maisha ya watu kikla siku bila ya kuwa na comments za kujenga hata siku moja michuzi usiwajali hawa mashoga waache wakachwzewe matako yao na wengine

    ReplyDelete
  21. watu kuweni na heshima, kwani bila kutoa comments utakufa, wewe hutaki kutoa comments wala nini bali unataka kuchafulia majina watoto wa watu, halafu unaesema sura zao haziuziki weka basi picha yako tuone kama wewe unauzika, utakuta wewe ndo mbaya kuliko hata sura mbaya, jali maisha yako bwana na sio kung'ang'ania maisha ya watu

    ReplyDelete
  22. hivi wewe unayetaka michuzi aweke sehemu ya kutoa comments,ziko kweli? wewe hapo hutaki kutoa comments bali unataka tu kuchafulia majina watoto wa watu. kwani bila comments unakufa? kwanza hujalazimishwa kuangalia, kama wewe hawakuvutii nenda mbele, kwani umesikia hii blog ni ya wazuri? kama wewe unajiona mzuri kweli basi weka picha yako ili basi watoe hizo comments unazolilia, lkn nina uhakika wewe ni mbaya kuliko hata sura mbaya, acha kusema watu wkt wewe mwenyewe hujioni

    ReplyDelete
  23. wachafuaji wa majina tu hao hawana lolote lile la maana. vp michuzi mbona comments zangu sizioni? nimeandika mbili, na hii naandika sijui kama itafika ila ni test tu

    ReplyDelete
  24. jamani sio heshima kusema maneno kama hayo ya kulambana kwa kaka michuzi, wengi wetu humu tunajua kwamba michuzi ni kaka yetu ( kiumri ametuzidi wengi ) hivyo tumpe heshima yake anayostahili !! kuweni masela, kwanini mnataka kila siku Misupu apige kelele kuhusu matusi ?

    ReplyDelete
  25. Jamani mbona tunakua hivi watanganyika?Ni shame iliyoje jamani!!!!.Ok jamaa wa mwanzo wametoa matusi sasa na warekebishaji nao ni matusi kwenda mbele.Sasa hapa kweli tutafika au tutabaki kutukanana tu mpaka.Kama kweli ungekuwa na nia ya kurekebisha usingetumia maneno mijinga ya kiswahili,mikundu,usenge na mashoga.Hii inatoa picha kwamba huko uliko ni kama umetawaliwa na fikra potufu na kujifanya wewe tena si mswahili.Kwa maana hiyo unataka kuhalalisha matusi unayotoa wewe kwa vile tu wajidai eti si mswahili,sijui kwa vile uko huko ughaibuni.Hapa ni mtakuja tu kwa hiyo paheshimu na wadau pia waheshimu.Ni hayo tu wanablog.

    ReplyDelete
  26. wewe ZERO inabidi ufanye research yako kabla hujapost utumbo wako man, Bill Gates has a crib in Zanzibar na anakwenda huko kila mwaka man, do your research na acha mambo ya kijiweni...

    ReplyDelete
  27. Jigga aliturusha kisawa sawa tu. Watu walishangilia, HOVA, HOVA, HOVA... lakini pia wabongo wengine wa kwetu walijitahidi pia. Lawama yangu ilikuja kwa jamaa zetu waandaji wetu wa kila siku, Clouds na Prime Time Promotions. Kwanza Nyuki Djs walijiweka nyuma ya Hot Red Djs toka Kenya. Jamaa wa Kenya walitupeleka peleka kinoma noma, na tulifurahi sana. walipokuja Nyuki, wakakakaa kimya kama 20 min, na sijui walikuwa wanahangaika nini pale mbele. mpaka wengine wakasema labda nyuki Dj wamekatiwa umeme, kwani walikaa muda mrefu wakimuachia mwenzao mmoja atumie mic tu kwa kulia mlio wa nyuki, Zzzzzzzzzzzz kwa muda mrefu. na walipoanza kazi, wakaonekana kuchekesha kwani hawakuwa na good coordination kati yao wenyewe, ukilinganisha na wale ma Dj toka Kenya ambao ilikuwa ni Kitu after Kitu non stop.
    Sasa nawaomba ndugu zangu akina Kusaga, Luge na wengine, muwaruhusu hawa wafanyakazi wenu, na ma Dj wetu wawe wana muda wa kufanya mazoezi kabla ya kuja kutuaibisha jukwaani. wafanye mazoezi na wawe wanaelewana katika kazi kama wenzao.
    Pia lawama zingine zinakuja kwa Mc wetu siku ile, B-12, yeye alijisahau au na yeye alishangaa kama sisi wengine tulivyopigwa na butwaa. kwani Jay Z alifanya mambo kwa takriban 55 min mfululizo akishirikiana na Hommy wake. Baada ya hapo taa zikazimwa na jamaa akarudi ndani akiwa na Dj wake na wengine. Wote tuliozoea kuliwa pesa zetu na akina Kofi Olomide, tukajua show imekwisha, kumbe Jigga alikuwa anatusikilizia tupige kelele kumwambia arudi tena na tena. sasa lawama zinakuja ni kwamba sisi wabongo tumezoea kusikiliza from above, hivyo tulitegemea B-12 aje atuuulize je tunataka Jigga aendelee? Mbona kwenye matamasha madogo huwa wanatuuliza tena hadi wimbo wanaimba, "Tuendelee ama Tusiendelee?" sasa badala ya B-12 kuja kutustua kwa muundo huo. wao wakakaa kimya kwa muda kama Dk 15, taa zimezimwa, mara akapanga Dj wa Clouds kutuburudisha kidogo, tukajua tayari vijipesa vyetu vya samaki ndo vimeshakwenda tena, tukajikusanya na kuanza kuangalia usawa wa mlangoni. Kufika nje, nakutana na ndugu zangu wa Clouds nao wakitoka, basi tukajua show ndo imekwisha. Sasa baadae tunasikia kwamba Jay-Z analalamika kwamba eti wabongo hatukumfurahia, kisa hatukupiga kelele kumtaka arudi jukwaani, jamani sisi wavuvi wa feri huku hatujazoea hayo, angalai B-12 angetustua tungepiga kelele mpaka Diamond ipasuke.
    Anyway, tuakajua kutakuwa na after party Kilimanjaro Kempisk, tukaenda huko. Mwe kufika pamepoa, ikatubidi tujikalie Bar tujinywee kidogo, kwani vijisenti vya samaki tulivyovichanga wiki nzima vilikuwa bado vipo.
    All in All Jay was the Boom! Tunamsubiri mbabe mwingine Senti 50

    ReplyDelete
  28. Michuzi wats goin' on btn u and mr. critic?? how come hatuwezi kuacha comments..

    ReplyDelete
  29. watu mmejazana kutoa maoni hapa kwa huyu mpiga kelele. toeni maoni pale kwenye misikiti na makanisa yanayojazana hovyo.
    Kwakweli Kaka Michuzi, mimi nina mtazamo tofauti kidogo kuhusiana na hili. lakini ni mtazamo wangu tu na si vinginevyo.
    kwanza kwakweli ningeonelea kwamba serikali iingilie kati ujenzi wa makanisa, na misikiti hovyo, kwani tunakoelekea sasa ni hatari hasa mijini, na jiji letu la Dar. mfano ni huo hapo ambako kila siku huwa naangalia na nashangaa, kwani misikiti ni lazima iwe na loud speakers zile za mnanda, ambapo kila ikifika muda wa swala mhadhini huadhini kwa sauti kubwa mno na kuleta kelele kubwa sana hasa kwa wakazi wa jirani. Tunakuja kwa makanisa, nayo ni hivyo hivyo, kwani utakuta wenzetu sisi tuliookolewa hukesha tukiimba na kulia usiku kucha tena kwenye maloud speaker hayo hayo. Sasa basi siku zinavyozidi kwenda tutajikuta tunatengeneza Istanbul na Rome ndani ya Dar es salaam. tena afadhali na Rome hakuna makelele ya kukesha usiku kucha, kwani utakuta wengine wa akina Kakobe huwa wanaweka redio kwenye loud speakers wakati wahusika wamekwenda kulala nyumbani, sasa zile kanda zitaimba na kuhubiri usiku kucha kwa sauti kubwa wakati hakuna muumini hata mmoja. sasa sijui tunaelekea kwenye ustaarabu gani.

    Kama speed ya kujenga misikiti na makanisa ingekwenda sambamba ya ujenzi wa mashule na viwanja vya michezo nadhani nchi hii ingeendelea sana. naiomba serikali iangalie sana utoaji wa vibali vya ujenzi wa makanisa na misikiti kwenye makazi ya watu. Imejazana mno na kutupigia kelele. Utakuta maeneo ya sinza, kumeongezeka na mabaa, afadhali makamba alikuja juu na ufungaji wa baa mapema, la sivyo ingezidi kuwa kero. Au la makanisa na misikiti yenye maspeaker ya mnanda yawekwe mbali na jamii. utakuta umezungukwa na makelele kila mahali unashindwa kulala. ukitoka unakutana na kelele za makonda, ukirudi za makanisa na misikiti, ukipita ni mabaa.

    ReplyDelete
  30. BLING BLING ILIBIDI ASIVAE J-ZEE LAZIMA ALITONYWA, KUWA A A A UKIVAA HUKU USWAHILINI UTAVULIWA WEZI KIBAO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...