jeneza la walter likitolewa huku baba yake kepteni joji mazula akiwa katangulia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunashukuru mungu mwili wa ndugu yetu umefika salama nyumbani kwa ajili ya mapumziko ya milele, sisi tulimpenda ila mumngu amempenda zaidi hatuna budi kumshukuru kwani kazi yake haina makosa. Rest in peace Walter.

    ReplyDelete
  2. Mzee Mazula utafikiri Ulimwengu?Kweli duniani wawili-wawili.Pole mzee Mazula kwa msiba uliopata.

    ReplyDelete
  3. NA NYIE VIJANA MJIFUNZE KUTOKANA NA HII MISIBA YA KUSIKITISHA, ACHENI TAMAA NA KUTAKA PESA ZA HARAKA HARAKA, HUU NI WAKATI WA MSIBA NA WAKUANGALIA MIENENDO YENU.
    NA WAZIZI PIA MUANGALIE NA KUWASHAURI VIJANA WENU.
    Bw kinegga!

    ReplyDelete
  4. NA MUACHE TAMAA KINA DADA.
    PICHA IMETRICKIWA IONEKANE KAMA NI WIZI WA MAGARI LAKINI SIVYO, NI MAPENZI. NI UJANJA WA MAMURDER HUKU SIKU HIZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...