miili ya walter na vonetha ikipokewa leo eapoti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ama hakika Mungu amesaidia kuwasili kwa miili ya wapendwa wetu na tunamuomba awapumzishe kwa amani "amin"

    ReplyDelete
  2. MUNGU ATAWAPUMZISHA KWA AMANI!

    ReplyDelete
  3. Mwenyezi Mungu ashukuriwe kwa kuwafikisha wapendwa wetu salama. Tunaomba shughuli ya mazishi iende salama. Amin

    ReplyDelete
  4. Ni uchungu ulioje kwa wazazi kuona majeneza ya watoto wao usiku wa leo huko nyumbani ebaba mungu wape subira wja wako na walaze pema peponi ndugu zetu hawa.

    ReplyDelete
  5. Huyu Vonetha kamponza mwenzake, inasemekana alikuwa na mpenzi Mmarekani ili apate uraia halafu akamtosa jamaa kwa hiyo ndivyo hivyo tena jamaa akaona kama wao wanajifanya wanajua basi ngoja awatangulize ahera, na kwa taarifa yenu ishu kama hii kafa Mtanzania wamarekani hawatafuatilia na wala hatakamatwa mtu

    ReplyDelete
  6. Sasa wewe hapo Juu kama unajua si inatosha lazima ututangazie umati, maana ulivyoandika kama vile unafurahia kifo cha mwenzio kwani mtu akikutaa ndio umtoe roho kwani ulimuumba?iwe kweli alikuwa ana mtu mwingine iwe uwongo si kazi yetu yote ni katika kutafuta maisha kwani hilo ndilo mmeona issue kuna njia nyingi watu wanahangaika nazo kwa ajili ya maisha.kumbuka leo wao kesho wewe na unakunya hovyo maneno yasiyo na maana wala msingi lakini hujui kifo chako kitatokana na nini. siri ni ya mungu muhimu tukumbuke wametangulia tuko nyuma na tuwaombee kama utakavyoombewa wewe sio unaa na uzandiki tu hapa kafa na sababu hii oooh ile uliulizwa?

    ReplyDelete
  7. wewe anon 9.15 hiyo habari ulioandika hapa naomba uforward kwa police wa detroit as well, that if your source is credible if not usitambaze uongo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...