Home
Unlabelled
mazula
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AM TZN RESIDING IN USA,CA I CAME TO THE ATTENTION OF THIS GREAT LOSS THRU UA BLOG,YR DOING GOOD JOB MICHUZI,KEEPITUP
ReplyDeleteNi kama wanapewa pole ya safari baada ya kuwasili salama na miili ya wapendwa vijana wa kitz.Mungu awape raha za milele--amin.Michuzi kazi nzuri baba.
ReplyDeleteMichuzi, Asante sana kwa up-to-dates. Kwa kweli unafanya kazi nzuri sana.
ReplyDeletePlease, Keep up the good work.
POLE NYINGI KWA FAMILIA YA CAPTAIN MAZURA NA FAMILIA YA NKYA BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
ReplyDeleteMichuzi acha kuchemka saa zingine andika kitu cha Ukweli. MTOTO wa Mazula ni huyo mmoja tu aliyemuwekea mkono begani, hao wengini ni ndugu au marafiki
ReplyDeletekama umeshapata message inatosha hatuko kwenye sensa hapa ya kuhakikisha nani ni mtoto wa kumzaa na nani wa kumlea au ni ndugu au rafiki, na hata akiwa ni ndugu ambaye anaweza kuwa mtoto wake yaani mtoto wa ndugu yake hakuambiwa lazima wazaliwe na captain mazula ndio aseme ni watoto wake na haukuwepo wakati michuzi anapiga hii picha pengine ndio maelezo aliopewa kuwa wote ni watoto wake bila kujali kuwa kawazaa yeye mazula au ni ndugu zake, hebu tujifunze kuwa serious sio kila pahala ni pa kufanya utani...michuzi kaka asante kwa kazi nzuri hasa siye tulio mbali kwani tumepoteza marafiki na vijana wenzetu.
ReplyDeletemungu azilaze roho zaarehemu mahali pema peponi amen
Dah wewe hapo juu umetoa point ya maana kiasi umenifariji moyo wangu.
ReplyDeleteAnony wa saa 5:01pm umesema ukweli.Haina haja ya kutaka kujua watoto wa mzee Mazula kwani haitasaidia.Kwa kumsaidia huyo bwana/bibi huyo ni mtoto wa dada wa mzee Mazula na kahitimu UDSM mwaka huu.Yupo nyumbani kwa mjomba kwa ajili ya huu msiba mzito kwa taifa la TZ.Mwenyezi Mungu wapumzishe Walter na Vonetha kwa amni.---AMIN
ReplyDeleteAnony wa 5:01pm, kiti alichokalia Kikwete ni halali yako ila tu sema wabongo busara kwao sio muhimu. Kwa ufupi ni kuwa point ulizomwaga hapo juu ni nzito mno na wenye masikio yakusikia wamesikia. Pumziko la milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani, Amin.
ReplyDeleteThank you anony wa 5.01, maana watu wengine humu ndani wana misplaced opinions, ili mradi wameandika tu.
ReplyDeleteKABISA NAWAUNGA MKONO HAPO JUU NA MOTOA POINT KWA KWELI WENGINE WANAZIDISHA JAAMNI TUWENI NA HURUMA .
ReplyDeleteMUNGU AWALAZE MAHALI PEMA AMENI .
MICHUZI GOD BLESS U
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI..MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE EEH BWANA WASTAREHE KWA AMANI...AMEEN.
ReplyDeleterest in peace ...Ameen
ReplyDeleteNyie wote mnaomuunga anony wa 5:01 pumba tupu!
ReplyDeleteUNAWEZA KUONGEA VYOVYOTE UTAKAVYO, LAKINI KAMA HAPA TUNAAMINI MICHUZI ANATUPA TAARIFA ZA KWELI TUPU!
Ni jukumu lako kama muandishi wa habari kuhakikisha kama hizo habari ni za kweli kabla haujazitoa hadharani. Sisi tunaamini tunavyosoma kutoka kwao.
Ninakuelewa labda ndio alivyoambiwa, lakini am sure baada ya hiyo comment ya kufahamishwa kweli ninafikiri hata Michuzi mwenyewe "by the end of the day" anajua kuwa amesahihishwa ukweli ambapo ni kitu cha kawaida kwa waandishi wa habari. Kwani kila mtu anafanya makosa au kuingizwa kichwakichwa.
Please check both side in any case.
Na mfikirie kama watu wazima wanaoenda na mfumu wa maendeleo wa uhuru wa kukosoana bila kujali umri, cheo, rangi au dini. Ndio maana hatupendi kuwasikiliza watoto, wakati ni moja ya walimu wetu wa maendeleo.
hili jamaa hapo juu jinga kweli na lenyewe eti linataka lisifiwe kama anoni wa 5:01, hahahaaa tumelistukia !! ndio kwanza unaongea pumba, sh!t
ReplyDeletewewe anon wa 12.28 huo msemo unasema "at the end of the day" sio "by the ..."
ReplyDelete