barabara ya moroko rodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Barabara ya Moroko Rodi?

    Saidi, ulifika Newala na kupitia Versace 647 Fifth Ave.@ 52 St. bila kuendelea kidogo Uptown na ukapiga picha ya Tiffany Store & Co. & 57t St. kulikojaa tanzanite zetu?

    ReplyDelete
  2. Naona Michuzi umeamua kunikumbusha mitaa ya skani-maeneo ya Kinondoni Mkwajuni, natamani kurudi lkn ndio hivyo bado sijapata mzigo wa kuwapelekea masera pale Manyanya.

    ReplyDelete
  3. Anony wa 7:34AM ungewaambia masela kuwa na nauli bado ni mgogolo

    ReplyDelete
  4. dar inahitaji four lane in one side not two this is because we get too many cars on the road and it is just so frastrated especially during rush hour. angalia hiyo space yote iliyo wazi? hatuna high ways nyingi sasa hiyo space yoe inapotea bule? poor infrastructure inatukwamisha

    ReplyDelete
  5. Hii inaitwa Barabara ya Kawawa. Barabara nyingi miaka ya karibuni zimebadilishwa majina na kupewa majina ya waasisi waliopita. Pugu Rd kuwa Nyerere Rd,Upanga Rd kuwa Ali Hassan Mwinyi Rd, Port Access Rd kuwa Mandela Rd n.k. Majina haya ya waasisi utakuta yameshapewa kwa vitu vingine kama viwanja vya michezo, maonyesho, viwanja vya ndege n.k hadi yanakuwa yamejirudiarudia, majina yaleyale yanagongana na kuwachanganya watu. Mimi nadhani sasa inatosha kutumia majina ya watu walewale mpaka yanajirudia. Kwa upande wa Barabara inapendeza zaidi kubaki majina yaleyale ya eneo au mkoa. Hii inakuwa rahisi kumwelekeza mtu kwa jina lake halisi la uelekeo mf. Bagamoyo Rd inaelekea Bagamoyo, Pugu Rd inaelekea Pugu, Kilwa Rd inaelekea Kilwa, Morogoro Rd inaelekea Morogoro, Morocco Rd inaelekea Kinondoni Morocco. Asante

    ReplyDelete
  6. Anony juu maoni bomba. Ila michuzi ni Kawawa road. Na sio 'Barabara ya Morroco Road'. Aidha tumia kimatumbi ama kikristu, sio unachanganya vyote.

    ReplyDelete
  7. Fagilia babake maana bongo ni Kinondoni, kariakoo, magomeni na ilala wengine wasindikizaji.\mbongo wa kinondoni studio

    ReplyDelete
  8. Sasa wewe unayeandika hizi "file names" mbona unaji confuse mwenyewe kama hukusoma bwana....eti "Barabara ya Morogoro Rodi"....its either "Morogoro Rodi" au "Barabara ya Morogoro"...look at your previous posts its the same repeatitions...its ridiculous whoever you are.

    ReplyDelete
  9. Hizo njia zote zinaendana na majina kwa mfano Morogoro Road inakwenda Morogoro, Kilwa Road inaelekea Kilwa Tatizo linakuja upoandika Morroco Road nilifikiri inaelekea Morroco kumbe Kinondoni.
    Mafuchila

    ReplyDelete
  10. Kinoclain babake

    ReplyDelete
  11. Hivi kuna tofauti gani kati ya Barabara na Road?.....

    Sasa hii maana yake nini barabara ya Morocco Road?....

    ReplyDelete
  12. Maana yake ni kuwa ondoa unoko wako kwenye blog hii. Hayo unayojaribu kusahihisha watu wanayajua kabla hata hujazaliwa. @#*&%? taipu.

    ReplyDelete
  13. hapa ni mkwajuni na sio moroko, yaani mie nipo ughaibuni miaka 5 na nusu sasa na wewe hupajui hapo ni wapi ? come on, michuzi hapo ni mkwajuni babakeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  14. jamani kama waandishi wenyewe ndio mnashindwa kutumia kiswahili fasaha sisi tunaojifunzia magazetini au kwenye hizi tovuti tufanyeje?? barabara ya morocco rodi......

    intaneshino eapot, international sisi tunajua kiswahili ni kimataifa na eapot ni uwanja wa ndege sasa inakuwaje, naomba urudi darasani mshkaji, unatuchefua!!!

    ReplyDelete
  15. Anony 12:41 Ni kinondoni mkwajuni lakini ni Morroco Road (Kawawa Road)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...