hatimaye walter amefika nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Bw. Issa, nitumie namba yako bwana ili ututumie taarifa ya mazishi kwenye KLH News.... Mwanakijiji

    ReplyDelete
  2. sorry.. mwanakijiji@journalist.com

    ReplyDelete
  3. MUNGU AWALAZE PEPONI, AMEN

    ReplyDelete
  4. R.I.P Walter. You'll be missed and always remembered.

    ReplyDelete
  5. Mkuu Michuzi pamoja na kwamba unasema umeshindwa kujigawa lakini mzee huu ni msiba na inabidi coverage iwe 50:50.Toka wali mmetujulisha kwamba hawa walikuwa wachumba lakini sasa naona hata ndugu wa Vonetha wakipita humu bloguni watapata machungu kuona habari za Walter ndio zinatawala.Ni hilo Misupu.

    ReplyDelete
  6. Michuzi kwani ni wewe tu unapiga picha ofisini kwako? huna wafanyakazi au? unaweza kujigawa sana ila sema kamera labda zinaupungufu. kama muandishiw a bhabari lazima uwe n assistant wako atakaye kusaidia kama ukwia huwezi fanya kitu fulani maana tunajua unamikono miwili sio minne. Ni hilo tu

    ReplyDelete
  7. wabongo acheni kulia kwa klia kitu. Michuzi kazi unayofanya ni nzuri kwa kwenda airport na kufuata ynumbani, and i am prety sure tutapata za kumwaga pia,

    Kwa ninavyojua hawa watu wamefika home usiku sana na michuzi hatumlipi huku so shukhuru unachopata na uache kulia as if unatoa hela kuingia huku kama kachagua kwenda sehemu moja ni yeye loh kweli biandamu nyahama ya hamu hairighiki na chochote

    ReplyDelete
  8. Michuzi alikwenda kuomboleza kwenye msiba na wala sio kupiga picha na huwezi kuomboleza hapa kidogo halafu uende kuomboleza na pengine kidogo hapo utakuwa umeenda kuuza sura, na wala hawezi kutoa mtu akapige picha kwenye msiba mwingine kwa sababu itabidi amlipe ingawa ofisi ni yake. Good job Michuzi keep the ball rollin

    ReplyDelete
  9. RIP Walter Mazura and Vonetha Nkya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...