jeneza lenye mwili wa vonetha likiingizwa garini tayari kwa safari ya kwenda kwa mzee nkya mbezi. nimeshindwa kujigawa, imebidi niende nyumbani kwa mmoja wao, ambaye ni walter

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Michuzi tunakushukuru sana kuleta hii taarifa sie tulio mbali. Tuko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.

    ReplyDelete
  2. pole mama Vonetha ni uchungu mama mungu atakupa nguvu we mzazi mwenzetu.

    ReplyDelete
  3. Wewe Michuzi acha hizo HUJATULIA kabisa umeshindwa kujigawa vipi? siunge kwenda kila msiba kwa wakati wake kwani Mikocheni Na Mbezi ni masaa kumi? Kwani Photo Point haina wafanya kazi wa kutosha? Acha maneno ya kipuuzi tupe picha tuone siyo unakuwa mbaguzi hata kwenye misiba. Ama unafuata penye Wali na Nguruwe? na pombe za bure?

    ReplyDelete
  4. Michuzi anauwezo wa kuwa kote kote ila amechagua kwa kina Walter sababu kuna watu famous kidogo kule zaidi ya Mbezi.

    ReplyDelete
  5. jamani mazula ni neighbour hood ya michuzi ndio maana kaona abane hapo kwa usiku huu asubuhi ataamkia mbezi msameheni kwa hilo

    ReplyDelete
  6. Hivi kuna nini ndani ya hiyo coffin? Walifungua kutazama kama Vonetha kweli yumo.

    ReplyDelete
  7. We Michuzi fanya kazi yako,wacha kujali baadhi ya comments za Critics,kwani huwezi kuwa mzuri kwa wote!Tunaomba picha zaidi!

    ReplyDelete
  8. Some people in here are nuts, really!

    ReplyDelete
  9. RIP Walter Mazura and Vonetha Nkya.

    ReplyDelete
  10. Kuna mijitu mingine hapa ilikuja kula tu WALI na POMBE za bure, maana you can tell by just looking. Sasa Jamani kuna watu mlikuwa hapa Kwa kaka mazula mkala WALI na POMBE halafu baadaye Mkahamia kwa JAY Z? Baada ya kushiba na kusaza, wabongo kwa bure bure hamjambo.. Michuzi saa 48 zimekwisha pita kama ulipata muda wa kutoroka tupe mambo ya JAY ZZ tunanyege ya kujua kulikoni jikoni dar. Vipi mambo yalifana sana?

    ReplyDelete
  11. Asante kwa picha..naomba nazingine zaidi mimi Vonetha alikuwa binamu yangu na ataendelea kuwa binamu yangu sante sana!

    ReplyDelete
  12. mimi napiga marufuku watu wote wanaotumia matusi wakati wa msiba huu, nitawashughulikia nina software za kuwajua.
    Michuzi tunaomba picha zaidi za upande wa Nkya
    Mungu wafariji wafiwa...INAUMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...