Home
Unlabelled
waombolezaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MUNG UAWALAZE PEPONI, AMEN.
ReplyDeleteMICHUZI ULIKWENDA KWENYE SHOO YA JAY Z? TUAMBIE MAMBO YALIVYOKWENDA BASI HUKU DC TUNA SIKIA FUNUNU FUNUNU TU HATUNA UHAKIKA WA MAMBO. TUTAONA KAMA UTAZIWEKA PICHA ZA JAY Z MAANA UMESHINDWA KWENDA KWENYE MSIBA WA PILI KWA NKYA LAKINI UMEPATA MUDA KWENDA KUMWONA JAY Z...WHAT A SHAME?
ReplyDeleteWewe unayejiita Manka wenzio wanaomboleza wewe unaulizia shoo ya J-Z wTZ kwa ulimbukeni sijui mtaacha lini.
ReplyDeleteSasa wewe wajuu yangu unataka watu wote tukalie tu Walter, Nkya, Walter, Nkya, Walter, Nkya, watu hata hatuwajui, ni msiba wa watanzania wote, lakini haloooh! this is a blog, something international, something public, sio private.Kama unataka kuendelea kuomboleza nemda kwao basi, sisi tumeshamaliza.
ReplyDeletewewe MANKA na mwenzako sehemu ya kuongelea JAYZ iko hapa tunaomboleza,hata kama hawa sio ndugu zako just put yourself kwenye viatu vya wafiwa ingekuwa wewe ndo ndugu zako halafu watu wanachomekea Twanga Pepeta usingefurahi
ReplyDeleteTukue kiakili na kifikra,jaribuni kutofautisha mambo na kupambanua
Namuunga mkono mwandishi October 05, 2006 3:04 PM: Sasa wewe wajuu yangu unataka watu wote tukalie tu Walter, Nkya, Walter, Nkya, Walter, Nkya, watu hata hatuwajui...
ReplyDeleteHuku nikizingatia kwa dhati, napenda kutoa pole zangu nyingi kwa jamaa ya marehemu wote wawili! Ki-kawaida, kifo kikitokea, watu huomboleza.
Lakini cha kujiuliza baada ya maombolezo:
Ni Watanzania wangapi wamekufa kutokana na ujambazi nchini Tanzania? Kwa nini mtu akifia ugenini (nchi za nje) kifo chake kina thamani kubwa kuliko aliyefia nchini? Si Tanzania tu, Mwamwerika akifia nchi za nje, kifo chake kina thamani kubwa katika vyombo vya habari (print and electronic broadcast media outlets)kuliko Mwamerika aliyetwangwa kwa risasai katika mabarabara ya miji yake! Kulingana na takwimu, kila baada ya dakika 26, mtu hutwangwa risasi nchini Amerika (USA)!
NAKUUNGA MWILI WA JUU YANGU.
ReplyDeleteWABONGO KILA LEO WANAKUFA UDOSINI, UMANGANI, EUROPE, HUKO HUKO USA, LAKINI WATU TUNAYAMALIZA KIUTU UZIMA. SABABU TUNAJUA RESPONSABLE YETU SIO.
LAKINI WAO...TOBAAAH! HATA KAMBARAGE SIO HIVYO, WAO WALIANZA KUTANGAZA SHIDA KWANZA, HALAFU WANATUFORCE WOTE TUSIKIE UCHUNGU WAKATI UCHUNGU HAUUITI BWANA!
BLANDINA MPONDELA WA ENGLAND MLISIKIA STORY YAKE NYIE? MBONA HUYO ALIYEULIWA NA WAKINA CYNTHIA MASASI HAMJAMNADI?
MKIAMBIWA WABONGO WA U.S.A WANADAMU YA CCM MNAWAKA MOTO.
Ogopeni mungu ndugu zanguni, kifo ni kifo hata kama haumjui mtu heshimu mauti kwani wote tuko njiani na hawa watu wanatuona tufanyacho huku. Kama wewe ni binadamu u gotta feel sorry na kuheshimu wafiwa ndio maana kwenye foleni ya mazishi watu wanakaa pembeni na kuacha msafara upite barabarani, sasa nyie ni kazi gani kubwa kupisha maoni yenu pembeni na kuyatumia kwenye picha nyingine.
ReplyDeleteMnataka kuonyesha na kuongea all the time kwa sababu eti mtu humjui, lakini si unandugu na marafiki waliokutoka mwanzoni, thats what people do mtu akifariki hata kama humjui u have the feeling ya wafiwa kwa kukumbuka na kuhuzunika kwa yale yaliokutokea wewe b4, na kama utasema haujawahi kufiwa na ndugu yako wa karibu then just omba mungu coz ikitokea then hauta act kama hivi, na kumbuka hauna mkataba na mungu kwa mambo ya dunia chezea mauti ya mtu mwingine, usishangae ukawa wewe kwenye hizi huzuni karibuni
pEACE
I should start by conveying my deepest sincere sympathy to the families concerned. May GOD give you the courage to go through this.
ReplyDeleteI am so ashamed though, to read some comments on this blog that in a way or the other are not related to the faintest to the issue on hand. Guys, mkibishana na mjinga mnaonekana wote wajinga. Please let's not proceed with the above discussion IF WE CAN. We've lost beloved ones at some stage in life, so we all know what it means. Let's PRAY for the remaining members, AND US as well, ili tukutane na kifo chema. Let's be reasonable. The privilage of writing on this blog shouldn't be wasted by posting unreasonable, unthoughfull and unTZ thoughts. Thanks Michuzi and praise the LORD.
RIP Vonetha and Walter
UNBELIEVEABLE
ReplyDeletehakya Mungu kuna watu wana roho mbaya jaamni unaongelea Jay z huko USa haujamuona vya kutosha?? sijapata kuona watu wenye roho mbaya kaam watu walioongelea show ya Jay z loo jamani au nyie ndio mliofurahia wametutoka?? hata haya hamna nyie .
ReplyDeleteHamna subira wala nini mnalopoka tu na kulinganisha vifo ingekwua dada yako ungedhubutu kusema show ???watu mnaroho mbaya sana hebu kuweniw atu wazima. Huyoi Jay z wala sio mtu wamaana zaidi ya kuja kutemeba tu na kula hela zenu analeta nini tz amani ?msonyooo.
Mungu awalaze mahali pema peponi ameni.
Pole nyingi kwa Watanzania wote!
ReplyDeleteHiviii, pamoja na kwamba uchunguzi wa mauaji haya ya kikatili unaendelea, habari za mitaani zinasemaje? Tunasikia ETI Vonetha alichanganya wanaume, na hivyi hiki ni kulipiza kisasi? Kujua chanzo cha mauaji ni somo kwetu sote.
Jay Z alikamua sana, mtu mzima alipiga shoo ya lisaa limoja na nusu tangu saa 4 mpaka saa 5 na nusu,kwenye shoo hiyo Ogopa DJ's wa Kenya walifunika sana Nyuki DJ's walinywea kabisa.Wasanii wa Bongo waliokuwepo ni Ray C, TID, Q Chillah, Nako 2 Nako. Jigga natisha mtu wangu shoo ilikuwa ya nguvu, ila B hakupanda na hata Hotelini waliingia misaafara miwili tofauti kama vile hawakuja pamoja.
ReplyDeleteGod bless to all who decide to use this issue as a joke na kukejeli kwa maneno yao kwa sababu computer iko wazi na hakuna anayemuona lakini jua mungu anakuona na hawa marehemu wanakuona,
ReplyDeleteEndeleeni na maneno ya kejeli kwa marehemu na msijutie utakapo patwa na balaa kwa maneno yako, Anon wa hapo juu unayeleta utani wa juu ya Vonethea mungu akuone na maneno yako na Vonetha pia anakusikia na maneno yako unayomsema
Amen
Wewe October 05, 2006 8:57 PM una matatizo gani? Huyo jamaa inaonyesha kabisa anapenda tujue chanzo cha mauaji. Tena ameandika "eti" kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo. Kuna ubaya gani wa kujua? Kila chanzo ya kifo hutafutiwa kinga:Ukimwi(ngono salama);Ajali roads (Mwapachu huko anatunga sheria mpya);Malaria (Tumia neti). Sasa kwanini watu wasijue ili tuzuie kinachowezekana? Unajifanya imekugusa saaana mpaka hutaki kuangalia ukweli wa mambo. Wote tuna mwisho wetu, na kasema ni somo kwetu. Acha kupinga kama huelewi mambo.
ReplyDeleteheeee jamani,unashangaa eti marehemu kachanganya mabwana...RUKSA kisemo cha Mwinyi raisi wa awamu ya pili Bongo...usipende kufuatilia maisha ya mtu hata akiwa nao wangapi ni yeyey na mungu wake ...atajiju yeye wala sio wewe ..hutodaiwa malipo kwa yeye kuwa na idadi kubwa...sawa eeh nadhani umenipata ndugu yangu.
ReplyDeleteThen secondly,mbona hakuna sheria inayozuia eti kuwa na watu wengi??sijaona VAT wala aina yoyote ya USHURU wala malipo kwa ajili hiyo,na hakuna hata kuwapa risiti wateja wako utakao wahudumia siku hiyo, sasa mwacheni hata kama ni kweli ni yeye kafanya kafa yeye na mpenziwe,wewe hujapata hasara wala faida maana hata mchango ukulazimishwa wala si ajabu hujatoa ila unauza maneno tu kwenye blogu ...
kila mtu ana uhuru na haki ya kufanya chochote akipendacho...IPE ROHO KITU NAPENDA,UKIIPA ROHO KITU NAPENDA MOYO UNAPATA BURUDANI....
EEH MUNGU ZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI...AMEEEEEN
hahahahha nipe tano Betty casandra hapo juuu.kwa kweli haifai kuingilia uhuru wa mtu hata awe nao kumi hata mia ni yeye na wazimu wake,mbona mimi ninao sita na sijawahi kupelekwa polisi kwa ajili ya kuwa na idadai kubwa ya wanaume????wala sijaona mahakama ya kuhusu habari hii,unanishangaza sana...achana na mambo ya watu....utajiju
ReplyDeleteMungu wape faraja wafiwa na zilaze roho za marehemu peponi ...amen
Haizuiwi, bali mix kwa uangalifu maana VAT na risiti yake yaweza kuwa kwa mtindo kama huo uliotokea bila kusahau gonjwa hatari la Ukimwi. Tusipotoshe lengo, ni kujua chanzo cha mauaji haya ya kikatili ya Watanzania hawa. Akili kichwani.
ReplyDeleteAnony wa 05:01 tupe dawa ya kuleta uchungu na majonzi mwilini kinguvu.
ReplyDeleteKuna mijitu mingine hapa ilikuja kula tu WALI na POMBE za bure, maana you can tell by just looking. Sasa Jamani kuna watu mlikuwa hapa Kwa kaka mazula mkala WALI na POMBE halafu baadaye Mkahamia kwa JAY Z? Baada ya kushiba na kusaza, wabongo kwa bure bure hamjambo.. Michuzi saa 48 zimekwisha pita kama ulipata muda wa kutoroka tupe mambo ya JAY ZZ tunanyege ya kujua kulikoni jikoni dar. Vipi mambo yalifana sana?
ReplyDeleteNyie machangu mnaweza kuwa na mabwana hata mia hamna wasi wasi kama ni mazezeta.
ReplyDeleteLakini kama kuna mmoja timamu, yatakukuta kama yalio mkuta bibie Nkya.
Just continue to fucking them up u know! 1 day kama utapona utakuwa in the wheel chair.
Sio Bongo hii...ooohooh!
Sawa kabisa nasapoti maoni hapo juu. na mwenye akili timamu mnajua kabisa malipo hapa hapa duniani, usimseme mwenzio au kumfanyia mwenzio vibaya kwani mola anaweza kukulipia mara mia kama si wewe hata wanao na vizazi vyao. ona mfanao wa MAMA KAHAMA laani ameweka kwenye familia yake. na kikubwa zaidi mola akamzalilisha AKAZAA MSENGE MTOTO WAKE yule KIZA KAHAMA. akawa anaenda mpaka kwenye mabaa waziwazi anaagizia bia mpaka anashindwa kulipa pesa alizopewa na mamake finyu basi analipiwa halafu akimaliza anawekwa mbele ya gari kwenye boneti wanaume wenzake walikuwa wanapiga foleni kumfira. yote hayo ni maovu alofanya mama yao, yamewarisi watoto na kama kuna wajukuu pia waombewe maana laana hii. imeandikwa mpaka kwenye vitatu vikuu vya dini. Haya endeleeni tu.
ReplyDeleteinasikitisha kupoteza to such young lives, isnt this a right time for TZ to engage themselves in an honest and open debate that watanzania wankufa ulaya kila siku na hawapati attention bwana michuzi ameonyesha. Ukweli ni kwamba bado tunaishi yale maisha ya wewe nani, baba nani, nasikia watu wanataja hata majirani as long ni popular. nimesikitishwa na tukio hilo lakini inabidi tutmie muda huu kufikiria what the happens kwa mtu ambaye sio popular au baba, familia nk. Poleni sana
ReplyDelete