jk akimpokea mh. mwai kibaki wa kenya na mkewe lucy leo arusha tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi za afrika mashariki ambapo m7 wa uganda keshawasili na pia nkurunzinza wa burundi na kagema wa rwanda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. kuna watu wabaya jamani...huyo Mwai Kibaki na mkewe utafikiri wametapikwa!!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi huyo Lucy Mke wa Kibaki hajakupiga makofi wakati unampiga picha.Huyu mama alipiga waandishi wa habari kenya.Usimsogelee karibu sana anapiga watu hadi vichwa huyo.Watu wanahisi alimpiga ngwala mumewe akamvunja miguu kama unakumbuka hata wakati Kibaki anaapishwa alikuwa kakaa kwenye kiti akiwa hoi! Mwanaume hakusema tu lakini inawezekana ni kipigo cha mama.Machangudoa wa Arusha mnajifanya wajanja msogeleeni Mwai Kibaki muone Mkewe Lucy atakavyowaparamia kama mwewe kwenye nani hii....zenu.Washenzi nyie msio na haya kupora waume za watu siku za mikutano mikubwa kama hii.

    ReplyDelete
  3. Mama Lucy Kibaki cheka basi kidogo umenuna kama vile umelazimishwa kuja!

    ReplyDelete
  4. Karibuni Arusha Wazee wetu Kibaki,Kikwete.M 7,Kagame na Nkurunzi- Mwenyezi Mungu awatangulie mfanye maamuzi ya busara kupanua ushirikiano wa Africa Mashariki na Kuongeza Burundi na Rwanda - Kwani hata taifa la Marekani walianza kwa kuungana na sasa ni taifa zito na kubwa duniani,na tunaendelea kufaidi misaada yao.

    ReplyDelete
  5. Mzee Kibaki kaulamba kweli safi sana JK naye hayuko nyuma na suti yake ya kuchanganya,Baadae Nkurunziza nae alianza kuweka viwalo vya uhakika ktk ziara yake dsm.

    ReplyDelete
  6. Hivi wewe Anony wa Thursday, November 30, 2006 3:08:40 PM, unafikiria kabla ya kuandika au unaandika kabla ya KUFIKIRIA. UNAFAIDI misaada gani ya MAREKANI? Au nimekuelewa vibaya? Kama unamaanisha NCHI yetu, hapo umechemsha. Lakini kama unamaanisha kuwa wewe umekuwa OMBAOMBA huko USA na unafaidi misaada yao hapo sina la kukupinga.

    ReplyDelete
  7. Kwa wale wasiopajua hapo ni Kilimanjaro International Airport(KIA) ndege utingishika sana kabla ya kutua.

    ReplyDelete
  8. Wewe uliyedhani Kikwete kapendeza kuna kitu unasahau. Kiukweli amechemsha. Alitakiwa aende na protokali ya mavazi yanayowiana na mwenzake. Huwezi kukutana na viongozi wenzio mwingine kavaa suti wewe umekoroga mirangi mchanganyo!

    Kikwete na viongozi wa Bongo mara nyingi sana wanaharibu kwenye code ya mazazi. Utakuta waziri anakutana na Rais, yeye kavaa Kaunda, Kikwete ana shati, msaidizi wa Rais ana Business suit! Wapi na wapi?

    ReplyDelete
  9. Kikwete amecaa nini jamani , suruali nyeusi , koti maziwa , tai bluu....mmh mimi naona kama krismas tree ...

    ReplyDelete
  10. kweli kabisa alitakiwa avae suti rangi moja
    Hapo amkaa kama mwalimu mkuu wa shule flani ! na wal sio rais inabidi msaidizi wake amshauri

    ReplyDelete
  11. Michuzi wakati unapiga picha hiyo inaelekea ulikuwa upande wa kulia alipokuwa Mh Kikwete na wapiga picha wengi wanaonekana walikaa upande huo, kwani mgekaa kushoto kwa mke wa rais Kibaki hakawahii kuwachapa makofi.
    Si unamuona alivyonuna hata pale angesema msipige picha mgeacha maana anatukumbusha alivyokivamia chumba cha habari pale natinal na kuanza kuchapa makofi kuanzai walinzi hadi waandishi na kuharibu makamera yao.kweli huyo firs lady hataki mchezo lakini ni kiboko ya waanishi huko Afrika Mashariki

    ReplyDelete
  12. Nyie mnasema Kibaki na mkewe wamenuna! hapo ndo wametabasamu basi. Aliyenuna ni huyo mzee aliye nyuma kabisa ya kikwete.

    ReplyDelete
  13. KIBAKI AKISHINDANISHWA U-HANDSOME NA MKAPA NANI ATASHINDA. MKAPA MBAYA JAMANI UKIONA SURA YAKE WAKATI WA MLO UNAWEZA KUTAPIKA.

    ReplyDelete
  14. Hata mabalozi nchini Kenya wanamkoma Lucy!

    Ukweli, kama Festi Ledi bondia, si Lucy peke yake aliyewahi kumtwanga Rais au kumgombeza Rais (kama mumewe)!

    Kuna Festi Ledi mmoja wakati wa ugeni jioni moja, baada ya kutwanga tungi, aliteremka chini na kuingia chumba Rais alimokuwa na gumzo na wageni kutoka Australia. Mama kaja juu na kumfyokea mume wake kwa nini alikuwa anachelewa kulala!

    Yafaa sana ma-Festi Lediz watuandikie vitabu vyao kuhusu maisha yao wakiwa wake wa ma-Rais wetu Afrika Mashariki na kwinginepo katika Bara la Afrika.

    ReplyDelete
  15. KWELI KACHEMSHA RAIS WA NCHI UNAVAA KAMA MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI...SINA LENGO LA KUDHARAU WALIMU BABA MKUBWA WANGU MWENYEWE ALIKUA MWALIMU MKUU

    ReplyDelete
  16. Akivaa nguo za gharama kubwa mtasema keshaanza kuiba. Nyerere alikuwa anavaa kaptula itakuwa JK.

    ReplyDelete
  17. michuzi,picha ya zamani hiyo babaaaake.acha kuchapia bana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...