Home
Unlabelled
ist afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kuna watu wabaya jamani...huyo Mwai Kibaki na mkewe utafikiri wametapikwa!!!
ReplyDeleteMichuzi huyo Lucy Mke wa Kibaki hajakupiga makofi wakati unampiga picha.Huyu mama alipiga waandishi wa habari kenya.Usimsogelee karibu sana anapiga watu hadi vichwa huyo.Watu wanahisi alimpiga ngwala mumewe akamvunja miguu kama unakumbuka hata wakati Kibaki anaapishwa alikuwa kakaa kwenye kiti akiwa hoi! Mwanaume hakusema tu lakini inawezekana ni kipigo cha mama.Machangudoa wa Arusha mnajifanya wajanja msogeleeni Mwai Kibaki muone Mkewe Lucy atakavyowaparamia kama mwewe kwenye nani hii....zenu.Washenzi nyie msio na haya kupora waume za watu siku za mikutano mikubwa kama hii.
ReplyDeleteMama Lucy Kibaki cheka basi kidogo umenuna kama vile umelazimishwa kuja!
ReplyDeleteKaribuni Arusha Wazee wetu Kibaki,Kikwete.M 7,Kagame na Nkurunzi- Mwenyezi Mungu awatangulie mfanye maamuzi ya busara kupanua ushirikiano wa Africa Mashariki na Kuongeza Burundi na Rwanda - Kwani hata taifa la Marekani walianza kwa kuungana na sasa ni taifa zito na kubwa duniani,na tunaendelea kufaidi misaada yao.
ReplyDeleteMzee Kibaki kaulamba kweli safi sana JK naye hayuko nyuma na suti yake ya kuchanganya,Baadae Nkurunziza nae alianza kuweka viwalo vya uhakika ktk ziara yake dsm.
ReplyDeleteHivi wewe Anony wa Thursday, November 30, 2006 3:08:40 PM, unafikiria kabla ya kuandika au unaandika kabla ya KUFIKIRIA. UNAFAIDI misaada gani ya MAREKANI? Au nimekuelewa vibaya? Kama unamaanisha NCHI yetu, hapo umechemsha. Lakini kama unamaanisha kuwa wewe umekuwa OMBAOMBA huko USA na unafaidi misaada yao hapo sina la kukupinga.
ReplyDeleteKwa wale wasiopajua hapo ni Kilimanjaro International Airport(KIA) ndege utingishika sana kabla ya kutua.
ReplyDeleteWewe uliyedhani Kikwete kapendeza kuna kitu unasahau. Kiukweli amechemsha. Alitakiwa aende na protokali ya mavazi yanayowiana na mwenzake. Huwezi kukutana na viongozi wenzio mwingine kavaa suti wewe umekoroga mirangi mchanganyo!
ReplyDeleteKikwete na viongozi wa Bongo mara nyingi sana wanaharibu kwenye code ya mazazi. Utakuta waziri anakutana na Rais, yeye kavaa Kaunda, Kikwete ana shati, msaidizi wa Rais ana Business suit! Wapi na wapi?
Kikwete amecaa nini jamani , suruali nyeusi , koti maziwa , tai bluu....mmh mimi naona kama krismas tree ...
ReplyDeletekweli kabisa alitakiwa avae suti rangi moja
ReplyDeleteHapo amkaa kama mwalimu mkuu wa shule flani ! na wal sio rais inabidi msaidizi wake amshauri
Michuzi wakati unapiga picha hiyo inaelekea ulikuwa upande wa kulia alipokuwa Mh Kikwete na wapiga picha wengi wanaonekana walikaa upande huo, kwani mgekaa kushoto kwa mke wa rais Kibaki hakawahii kuwachapa makofi.
ReplyDeleteSi unamuona alivyonuna hata pale angesema msipige picha mgeacha maana anatukumbusha alivyokivamia chumba cha habari pale natinal na kuanza kuchapa makofi kuanzai walinzi hadi waandishi na kuharibu makamera yao.kweli huyo firs lady hataki mchezo lakini ni kiboko ya waanishi huko Afrika Mashariki
Nyie mnasema Kibaki na mkewe wamenuna! hapo ndo wametabasamu basi. Aliyenuna ni huyo mzee aliye nyuma kabisa ya kikwete.
ReplyDeleteKIBAKI AKISHINDANISHWA U-HANDSOME NA MKAPA NANI ATASHINDA. MKAPA MBAYA JAMANI UKIONA SURA YAKE WAKATI WA MLO UNAWEZA KUTAPIKA.
ReplyDeleteHata mabalozi nchini Kenya wanamkoma Lucy!
ReplyDeleteUkweli, kama Festi Ledi bondia, si Lucy peke yake aliyewahi kumtwanga Rais au kumgombeza Rais (kama mumewe)!
Kuna Festi Ledi mmoja wakati wa ugeni jioni moja, baada ya kutwanga tungi, aliteremka chini na kuingia chumba Rais alimokuwa na gumzo na wageni kutoka Australia. Mama kaja juu na kumfyokea mume wake kwa nini alikuwa anachelewa kulala!
Yafaa sana ma-Festi Lediz watuandikie vitabu vyao kuhusu maisha yao wakiwa wake wa ma-Rais wetu Afrika Mashariki na kwinginepo katika Bara la Afrika.
KWELI KACHEMSHA RAIS WA NCHI UNAVAA KAMA MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI...SINA LENGO LA KUDHARAU WALIMU BABA MKUBWA WANGU MWENYEWE ALIKUA MWALIMU MKUU
ReplyDeleteAkivaa nguo za gharama kubwa mtasema keshaanza kuiba. Nyerere alikuwa anavaa kaptula itakuwa JK.
ReplyDeletemichuzi,picha ya zamani hiyo babaaaake.acha kuchapia bana.
ReplyDelete